Viongozi mtatuua kwa sonona

Viongozi mtatuua kwa sonona

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
2,026
Reaction score
4,450
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔

🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
 
Dah!Tumekwama sana.
 
Kila siku tunahesabu dari.
Maharagwe una hesabu punje.
Jamii haipati milo mitatu iliyo kamili.Tutarajie afya mbovu,udumavu,hasira,sonona,ugomvi wa familia,kukondeana,kuvaa nguo nyembamba na kuziita ni fashions,taharuki,kuchukiana,kununanuna na upotevu wa amani mioyoni mwa wanajamii.
 
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔

🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
Ngoja maDr wa uchumi wa mlimani waje waweke hesabu sawa
 
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

[emoji3578]10,000 - 7500 = 2500 [emoji848]

[emoji848]Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
[emoji848]Bado viungo?
[emoji848]Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
WACHA WATUUE TULIWACHAGUA WENYEWE KWA MBWEMBWE ZOTE[emoji779][emoji779]
 
We chawa wa mama Samia The Sunk Cost Fallacy 2 njoo huku unaitwa
Nawakumbusha tuu kwamba
1.Mvua zinanyesha nendeni shamba la sivyo mtaendelea kulia lia hivyo hivyo
2.Serikali imetangaza Vijana waombe kujiounga kwenye mashamba ya pamoja zaidi ya Vijana mil.1 wanahitajika,wametagutiwa mashamba na Kila kitu watapewa,Sasa endeleeni ku bet.
3.Kama.huna pesa Rudi Kijijini acha kusumbua watu mjini.
 
Back
Top Bottom