Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
- Thread starter
- #21
Umetoka kula Mbuni na Swala.Nawakumbusha tuu kwamba
1.Mvua zinanyesha nendeni la sivyo mtaendelea kulia lia hivyo hivyo
2.Serikali imetangaza Vijana waombe kujiounga kwenye mashamba ya pamoja zaidi ya Vijana mil.1 wanahitajika,wametagutiwa mashamba na Kila kitu watapewa,Sasa endeleeni ku bet.
3.Kama.huna pesa Rudi Kijijini acha kusumbua watu mjini.
Umeshiba sasa.