Viongozi mtatuua kwa sonona

Viongozi mtatuua kwa sonona

Nawakumbusha tuu kwamba
1.Mvua zinanyesha nendeni la sivyo mtaendelea kulia lia hivyo hivyo
2.Serikali imetangaza Vijana waombe kujiounga kwenye mashamba ya pamoja zaidi ya Vijana mil.1 wanahitajika,wametagutiwa mashamba na Kila kitu watapewa,Sasa endeleeni ku bet.
3.Kama.huna pesa Rudi Kijijini acha kusumbua watu mjini.
Chawa
 
Kuna wakati unajifanya ni mtaalam wa uchumi, kumbe hamna kitu. Wanaolalamikia bei ya bidhaa za chakula kupanda juu kupitiliza, siyo vijana wanaoshi tu mjini!

Kuna wafanyakazi ambao wanakusomeshea watoto wako, wanakutibu ukiumwa, nk. Na hawa wananunua chakula kupitia mishahara yao wanayo pokea kila mwezi.

Sasa bidhaa za chakula zinapopanda kiholela, huku kipato chao kinapobakia pale pale, huoni bajeti zao za kila mwezi zinavurugika? Na wenyewe unawashauri waache kazi za kuwahudumia watu, ilo wakalime vijijini?
 
Hapa unaonyesha ni jinsi ulivyovimbiwa kwa shibe! Mkuu badilika acha mahaba na chama!!
Sina mahaba na chama Wala mm sio mwanaccm ila Mimi ni mkulima mwenyewe..

Nilime mwenyewe Kwa nini nisivimbiwe? Wakifunga mipaka naacha kulima kubishana nalima chakula cha familia yangu tuu nione nyie pimbi wa mjini mtakavyofanya.
 
Kuna wakati unajifanya ni mtaalam wa uchumi, kumbe hamna kitu. Wanaolalamikia bei ya bidhaa za chakula kupanda juu kupitiliza, siyo vijana wanaoshi tu mjini!

Kuna wafanyakazi ambao wanakusomeshea watoto wako, wanakutibu ukiumwa, nk. Na hawa wananunua chakula kupitia mishahara yao wanayo pokea kila mwezi.

Sasa bidhaa za chakula zinapopanda kiholela, huku kipato chao kinapobakia pale pale, huoni bajeti zao za kila mwezi zinavurugika? Na wenyewe unawashauri waache kazi za kuwahudumia watu, ilo wakalime vijijini?
Mfanyabiashara alalamike wakati yeye ndio mnufaika wa kwanza? Pole sana Mkuu.

Hakuna bei iliyopitiliza,ukishindwa maharage au mchele kula ugali,kula viazi acha kukafiri wakati huna hela.
 
Nawakumbusha tuu kwamba
1.Mvua zinanyesha nendeni la sivyo mtaendelea kulia lia hivyo hivyo
2.Serikali imetangaza Vijana waombe kujiounga kwenye mashamba ya pamoja zaidi ya Vijana mil.1 wanahitajika,wametagutiwa mashamba na Kila kitu watapewa,Sasa endeleeni ku bet.
3.Kama.huna pesa Rudi Kijijini acha kusumbua watu mjini.
Kwa hiyo na vifaa vya ujenzi vikipanda tukafungue viwanda vyetu vya kuzalisha hivyo vifaa au sio?
 
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔

🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
Yani ni balaaa
 
Sasa kwa Nini usiache hiyo kazi ya 10 kwa siku ukaenda kulima nawe ukapiga mihela?
 
Mimi nimeongelea athari wanazopitia wananchi wasio jihusisha moja kwa moja na kilimo! Mfano wafanyakazi ambao muda mwingi wanatakiwa kutoa huduma.

Je, huoni mnawatesa kupitia hizi sera zenu mbovu za kuruhusu chakula kuuzwa kiholela nchi jirani? Maana wanaonufaika kwanza siyo wakulima wanaouzia mazao yao shambani, tena kwa bei ya hasara! Badala yake wanufaika wakuu ni madalali!

Hivi nyinyi ccm ni nani hasa aliyewaroga, kiasi cha kujawa na kiburi kiasi hiki?
Kwa hiyo mfanyakazi ana maisha mabaya kuliko mkulima au? Acha uzwazwa basi.
 
kuna chapta kwenye kitabu cha richi dadi pua dadi uli-skip nakushauri rudi kukisoma tena
 
Back
Top Bottom