Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe , ambaye anashikiliwa kwa Tuhuma za Ugaidi .



Nachukua nafasi hii kuwashukuru wanachama na viongozi hao kwa wema wao huo , Tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu atawarudishia pale palipopungua kutokana na gharama za safari hiyo .

Mungu ibariki Chadema
 
Kijakazi wa Mbowe unahanagaika sana.
 
Acha uongo hao mbona karibia wote ni mashabiki wa Yanga wamekuja Dar kushuhudia game kesho Jpili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…