Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

wafuatiliwe kwa ukaribu sana tena sana, maana wasije wakawa wamebeba vilipuzi.
wafuasi wa Mbowe sio wa kuwaamini hata kidogo, wamekuwa tishio kwa usalama wa nchi yetu.
 
Kuna siku CHADEMA itaongoza nchi hii. Karibia wataiva na kupata uchungu sahihi wa nchi yao. Bado kidogo
Mimi binafsi huwa napenda misukosuko sana, huimarisha, huchochea na huleta hasira ya kufanya kweli.
 
Hata mimi pia mzazi wangu mmoja ni wa Mara.... So Naijua vizuri sana Kuanzia Mugumu mpaka visiwani huko Nansio we have the numbers!!! Ndio mkoa uliotoa wabunge wengi wa upinzani kanda ya ziwa since 2015 then unadai eti wakurya tu??? Are you serious?

Kama kawaida unajificha kwenye ukabila ili kuficha upumbavu wako
Ukweli unaumaaa. Naona ni yalaaaaa kama pili pili imemwagwa kwenye shimo la ntoka
 
wafuatiliwe kwa ukaribu sana tena sana, maana wasije wakawa wamebeba vilipuzi.
wafuasi wa Mbowe sio wa kuwaamini hata kidogo, maana wamekuwa tishio kwa usalama wa nchi yetu, hivyo hatuna budi kujihadhari nao.
waswahili wanamsemo; mtoto wa nyoka ni.....................................
 
Ukweli lazima usemwe hili kabila la wanawake wanaowaondoa waume zao baada ya kupata pesa watu lazma wawe makini nalo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unakosea kujumuisha kabila kwa tabia za mtu mmoja mmoja .mfano huwezi kusema wanawake wa kihaya wote ni malaya wakati baadhi wametulia.
 
Hawa wamama mnawataja huku kwa kukosa adabu wanahusikaje? Hivi mnajua wakati hamjiwezi kabisa; hawa wamama waliwalea? Wangeweza hata toa mimba zenu au kuwauwa, waheshimuni hawa kina Mama for once!
Kwa nini usimjibu alie sababisha?
 
Kijakazi wa Mbowe unahanagaika sana.
mnamuita Mwenyekiti wetu gaidi lakini Jumong kaitwa Tour 'Gaidi' tu mipovu imewatoka hahaha.

CHADEMA bado kipokipo sana - mpaka mwisho wa dahari. mpaka muombe poo.
 
Back
Top Bottom