Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Umefika Kigoma wewe? huku kaskazini kabisa? CHADEMA imetapakaa kote nchini so ajenda ya ukabila na udini imekufa zamani sana.
Kigoma wana support wapinzani wote. Ila kuna watu ambao kwao wachagga wa CDM ndio watu wao, mpinzani mwingine hata awe na agenda kiasi gani hawamjali
 
Kigoma wana support wapinzani wote. Ila kuna watu ambao kwao wachagga wa CDM ndio watu wao, mpinzani mwingine hata awe na agenda kiasi gani hawamjali
Tatizo umejaa ukabila na chuki kwa wachagga utadhani sio waTanzania; Ila kaa ukijua CHADEMA ina support kutoka kanda zote. Ukifika serengeti utashangaa porini kabisa ila kuna ofisi za CHADEMA sasa unadhani wamemfuata mchagga yupi? Tukienda kwa ukabila mnaoutaka then Samia hana chake 2025!! So msitufikishe huko.
 
Serengeti ni wakurya.
 
Utashangaa kuna watu watakuwa Chalinze pale watengeneza foleni kukagua coaster zote wataacha kazi za maana .....kumbe habari kutungwa....pia gerezani watazuia kunuona Mbowe.....weledi hakuna vyombo vyetu sifa tu na mihemko
 
Serengeti ni wakurya.
Mara ina makabila zaidi ya 15. So usikariri ni Wakurya tu, CHADEMA ipo kuanzia Rorya mpka Butiama..... Kibara mpaka Nyasho!! So ajenda ya ukabila imekufa zamani sana in fact CHADEMA inakubalika nyanda za juu kusini na magharibi kuliko hata kanda ya kaskazini.
 
Kwetu ni Mara. I know what i'm talking as.shole
 
Sugu kwa organization yupo vizuri
Huyu mwamba baada nwenda zake kumove zake anaweza akarudi tena kwenye nafasi yake. Ksbb 1. Mbeya hawamkuchagua mama.
2. Mbeya ni watu wana msimamo hatari. Hawako tayari kuongozwa na mwanamke.

Inajidhihirisha kwa haya. Huyu mama kila msiba wa wana mbeya anaenda kuwahani. Cha ajabu akifika msiba wanampokea kama waombolezaji wengine tu. Sugu anapata habari mama kaenda na kapokelewa. Na yeye anafuata na wapambe wake. Akifika tu msibani,msiba wote unalipuka kwa vifijo kumpokea. Halafu walivyo wanoko badala ya kumpa mama atoe salamu,utasikia rais wa mbeya Sugu apewe mic anataka kutoa neno. Mama anakuwa mdogo,huwa anaondokaga kwa hasira.

Hakika kuna mambo huwezi kuyalazimisha. Kama ilivyo ngumu kuwalazimisha watu wakachanje,wakati waliochanja wanakufa kwa Corona
 
Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe , ambaye anashikiliwa kwa Tuhuma za Ugaidi .

View attachment 1933571

Nachukua nafasi hii kuwashukuru wanachama na viongozi hao kwa wema wao huo , Tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu atawarudishia pale palipopungua kutokana na gharama za safari hiyo .

Mungu ibariki Chadema
Japo nahisi kuzuiliwa na kuletewa mizengwe huko mbele
 
Back
Top Bottom