Viongozi na Wanasiasa acheni kiburi na majivuno, hamtafika kokote. Mkumbukeni Tuntemeke Sanga

Viongozi na Wanasiasa acheni kiburi na majivuno, hamtafika kokote. Mkumbukeni Tuntemeke Sanga

Mbeya wengi ni wajivuni wa Zambia na Malawi wamejipachika tu unyakyusa.
 
Kiburi si kabila japo ni kweli huyu ndugu yetu Mwabukusi ni kiburi...ni kiburi haswa...abadilike...

Kiburi ni malezi mabovu na kukosa akili na fikra chanya ya thamani kuu ya utu wa mwanadamu na mazingira yanayomzunguka....

Nimekutana na wanyakyusa wengi wasio viburi.....nami pia natoka huko..Matema

Nachukia kiburi na siwapendi watu viburi....

Mwenyezi Mungu anilinde na kiburi na aniweke mbali na wenye viburi aaamin aaamin.

#Nchi Kwanza[emoji2956]
 
Mimi ni mnyakyusa. Na hizo ni tabia zetu za asili. Naomba nikutaarifu tu kua jitune tu kuishi nao wakiwa hivyo popote unapo waona.
Si kila mnyakyusa ni kiburi.....kama unacho ni muda mwafaka badilika....kiburi si maungwana..

Anyigulile Kyala
 
Ndio maana viongozi wazuri hutokea mikoa ya pwani maana huwa hawana majivuno, viburi na ujuaji
 
Aumesahau sifa ingine ni upendo.
Sisi hatuzalishi machawa sio kazini sio kwenye siasa.

Hatujafunzwa kunyenyekea kijinga.

Soka hapa,Waisa hoyeee
 
Ni kweli maana wote ninaohusiana nao Kama dada To yeye hawako hivyo hata kidogo ni watu charming zaidi ni watu wanaojua utu sana .

Ila najipa muda kulifuatilia hili ndugu
Hakika mkuu...

Ila wako viburi mathalani mnyakyusa dada yangu ERTHYROCYTES....unamuonaje huyu Tusekelege Erthyrocytes?!! [emoji1787][emoji1787]
 
Watu poa saaana wanyakyusa hujaishi NAO tuuu.Wote ni Watumishi wa Mungu Ni wa ukoo wa Daud.hawana hiyana..Watu Mutu.
 
Mbeya wengi ni wajivuni wa Zambia na Malawi wamejipachika tu unyakyusa.
Assalaam alaykum ukhty....

Mbona una "double standards"?!!

Kwa hiyo wakazi wa Mbeya wengi si watanzania?? Like seriously ?!!

Kwa hiyo ndugu zako wadigo na wasegeju wa Tanga ni wakenya wa Mombasa?!!!
 
Nafunga utafiti wangu rasmi kwa kusema basi ni kweli wako hivyo Ila siyo wote ni baadhi
[emoji44][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utafiti wako kwa reference ya popoma wachache ?!![emoji1787]

Umemaliza utafiti kwa kuwapata viburi wawili ,kiburi Mwabukusi...na kiburi Erthyrocytes....[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom