Viongozi na Wanasiasa acheni kiburi na majivuno, hamtafika kokote. Mkumbukeni Tuntemeke Sanga

Viongozi na Wanasiasa acheni kiburi na majivuno, hamtafika kokote. Mkumbukeni Tuntemeke Sanga

Assalaam alaykum ukhty....

Mbona una "double standards"?!!

Kwa hiyo wakazi wa Mbeya wengi si watanzania?? Like seriously ?!!

Kwa hiyo ndugu zako wadigo na wasegeju wa Tanga ni wakenya wa Mombasa?!!!
Wanaweza kuwa Watanzania wa kuhamia lakini siyo wa asili.

Ndiyo, wapo wengi awna uraia wa nchi mbili, hata wamasai, wamakonde wengi ni wa nchi mbili. Musoma huko kuna wajaluo, ni hayo hayo. Kagera huko kuna wanyarwanda, waganda. Ukija Kigoma kuna waha wa Tanzania, kuna wamanyema wa kongo.

Hayo mbona linajulikana Tanzania, siyo mageni.
 
Wanaweza kuwa Watanzania wa kuhamia lakini siyo wa asili.

Ndio wapo wengi ana uraia wa nchi mbili, hatra wamasai. wamakonde wengi ni wa nchiu mbili.

Hilo mbona linajulikana Tanzania, siyo geni.
Mtanzania wa asili ni nani ?
 
[emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Ndani ya wasukuma kuna koo nyingi kubwa....

Una uhakika ?!!!

Kuna wanyantuzu wasukuma...
Kuna wazinza wasukuma....
Kuna wamagu wasukuma...
Kuna walamadi wasukuma...
Kuna wanyangunge wasukuma....
 
Hakuna, Tanzania yenyewe ni nchi changa inayojumuisha nchi mbili.
. Asili ya watu wa ardhi hii kabla ya ujio wa Wajerumani ni wa Zenjibar.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]

Dadangu "faswbir swabran jamiila"

Seriously ?!!

Zenjibar ipi ?!!

Hivi "visiwa vya Zanzibar" ama zinji (nyeusi)?!!
 
Watanzania wote hatuwezi kuwa kama Wagogo ambao miaka 60 ya Uhuru bado unadanganywa kuwa endelea kunywa Uji wa Ubuyu na Viwavi jeshi eti mambo yatanyooka.

Wakati Viongozi wakifuja na kujilipa mishahara minono na MaV8 hapo Dodoma.
 
Mkuu tena wanyakyusa ukute ni mwanamke ni wanafiki huku wakijificha kwenye ucha Mungu.

Alafu chunguza hata mtaani kwako ukikuta mwanamke wa kinyakyusa either single mother au ameachika au kama ana mume basi mume hana sauti.
Mkuu kule unyakyusani kuna "sehemu "ina baadhi ya wanawake watata hivi [emoji1787][emoji1787]

Isije ikawa huko mitaani kwenu kumejaa "wanawake wa hayo maeneo" na ndio wasumbufu kama ulivyoelezea....

Mkuu tabia ya mtu hutokana na "NATURE(genetic makeup) na NURTURE(malezi)....

Hivi kuna malezi ya kiafrika ambayo binti anafundishwa kuzaa bila kuolewa na kuishi kisela na kihuni ?!! [emoji44][emoji44][emoji1787]
 
Watanzania wote hatuwezi kuwa kama Wagogo ambao miaka 60 ya Uhuru bado unadanganywa kuwa endelea kunywa Uji wa Ubuyu na Viwavi jeshi eti mambo yatanyooka.

Wakati Viongozi wakifuja na kujilipa mishahara minono na MaV8 hapo Dodoma.
[emoji1787]
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]

Dadangu "faswbir swabran jamiila"

Seriously ?!!

Zenjibar ipi ?!!

Hivi "visiwa vya Zanzibar" ama zinji (nyeusi)?!!
Soma kijana, hakuna kisiwa kinaitwa "bar" Kiarabu, k"bar" ndipo unapata neno bara. bar arabu, bara la wazenji ndiyo zenjibar. Kule Zanzibarvisiwani ndiyo kulibaki baada ya wazungu kujikatia bara la Afrika kama keki ya besidei, ndio wazungu kama kawaida yao ya kubadili majina wakapaita Zanzibar.

Jisomee hisgtoria kidogo. Zenjbar makao makuu yake yalikuwa yanaitwa Raptha, enzi na enzi, baadae yakahamia Kilwa.
 
Sawa....

Kabla ya ujaji wa waarabu na waajemi wakaviita vile visiwa ni ZENJIBAR hakukuwa na watu weusi waliotoka Pemba Msumbiji na ukanda wote huu wa Pwani kutokea Malindi Mombasa ?!!!

Hivyo visiwa hao watu weusi waliviitaje ?!!
 
Back
Top Bottom