Viongozi na Wanasiasa acheni kiburi na majivuno, hamtafika kokote. Mkumbukeni Tuntemeke Sanga

Viongozi na Wanasiasa acheni kiburi na majivuno, hamtafika kokote. Mkumbukeni Tuntemeke Sanga

Huyu Tuntemeke sio wa eneo moja la makete na Reverend Mtikila ?
 
Uwezo na kujielewa kwa watu kunakuwasha sana.
Nani aliyekudanganya kuwa Tuntemeke Sanga alikuwa ni Mnyakyusa?
Nimeoa kwenu ila tabia zenu kama jamaa alivyoandika hata ofcn mnaboa sana
 
Back
Top Bottom