greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,653 Reaction score 3,060 Aug 15, 2024 #61 GWAMAKA USWEGE said: Kiongozi gani mzuri katokea Pwani ? Click to expand... Kikwete....ππππππ π π
GWAMAKA USWEGE said: Kiongozi gani mzuri katokea Pwani ? Click to expand... Kikwete....ππππππ π π
YONASHA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2018 Posts 504 Reaction score 1,167 Aug 15, 2024 #62 Huyu jamaaaa angetufikisha mbali sanaβ¦..
S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Aug 15, 2024 #63 Huyu Tuntemeke sio wa eneo moja la makete na Reverend Mtikila ?
nyiokunda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 1,976 Reaction score 1,181 Aug 15, 2024 #64 PakiJinja said: Uwezo na kujielewa kwa watu kunakuwasha sana. Nani aliyekudanganya kuwa Tuntemeke Sanga alikuwa ni Mnyakyusa? Click to expand... Nimeoa kwenu ila tabia zenu kama jamaa alivyoandika hata ofcn mnaboa sana
PakiJinja said: Uwezo na kujielewa kwa watu kunakuwasha sana. Nani aliyekudanganya kuwa Tuntemeke Sanga alikuwa ni Mnyakyusa? Click to expand... Nimeoa kwenu ila tabia zenu kama jamaa alivyoandika hata ofcn mnaboa sana
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,052 Reaction score 2,995 Aug 15, 2024 #65 Hismastersvoice said: Labda nibadilishe, ulisomea shule Zambia, nadhani Zambia kaskazini nyelele ni sisimizi kama sijakosea, Tanzania hatuna nyelele japo wapo akina nyerere. Click to expand... Nyelele ni sisimizi? Mh! Na nyenyere ni nani Sasa eti we shangazi?
Hismastersvoice said: Labda nibadilishe, ulisomea shule Zambia, nadhani Zambia kaskazini nyelele ni sisimizi kama sijakosea, Tanzania hatuna nyelele japo wapo akina nyerere. Click to expand... Nyelele ni sisimizi? Mh! Na nyenyere ni nani Sasa eti we shangazi?
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,689 Reaction score 25,848 Aug 15, 2024 #66 nyiokunda said: Nimeoa kwenu ila tabia zenu kama jamaa alivyoandika hata ofcn mnaboa sana Click to expand... Ukiona wanakuboa ujue wameshakuchoka na sasa wanawapeni mnachostahili ili mgawane hizo boring
nyiokunda said: Nimeoa kwenu ila tabia zenu kama jamaa alivyoandika hata ofcn mnaboa sana Click to expand... Ukiona wanakuboa ujue wameshakuchoka na sasa wanawapeni mnachostahili ili mgawane hizo boring
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Aug 15, 2024 #67 Killing machine said: Nyelele ni sisimizi? Mh! Na nyenyere ni nani Sasa eti we shangazi? Click to expand... Kwa ujinga wako nyelele ni Nyerere! Sipendi kulumbana na wajinga, acha kabisa.
Killing machine said: Nyelele ni sisimizi? Mh! Na nyenyere ni nani Sasa eti we shangazi? Click to expand... Kwa ujinga wako nyelele ni Nyerere! Sipendi kulumbana na wajinga, acha kabisa.