Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
 
Kama kichwa kinavyojiekeza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
Tafsiri halisi ya wanyonge ni ipi??
 
Kama kichwa kinavyojiekeza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
.MKUU CCM wanalipa we unaumia nn

Wakat wa uchaguz ulifanya kila uwezalo CCM ishinde imeshnda 95%

Lipaneni tu mkuu
 
Tafsiri halisi ya wanyonge ni ipi??

Tafsiri halisi ya wanyonge ni ipi??
FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390800494.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
Kwni bado kuna wanyonge? Nilidhani waliisha na mwendazake. Kumwambia mwenzio mnyonge si haki kwani yeye atatoka vipi kama ataitwa mnyonge? Watu wasaidiwe ili hili neno liishe!!!!
 
Back
Top Bottom