TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Picha tafadhaliWanajamvi salaams
Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara?
Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote.
Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa kurudi nyumbani jioni hawataki kukaa kwenye msongamano nadhani wanatamani watumie ving'ora.
Hii hauko sawa hata kidogo hivyo vyeo ni makoti tu ya kuazima muda ya kuazima ukiisha wewe ni raia tu kama raia mwingine.
Punguzeni kuvimba mtapasuka.
Ndo wale wale kasoro majina yao sasa wote tukiwa viongozi patatosha????Mkuu tayari umeshasema viongozi, ukitaka kwenda nao pasu na wewe kuwa kiongozi wa serikali, huna haja ya kulialia..
Ngoja nitapiga jioni hii ntakutumiaPicha tafadhali
Labda alternative hii itasaidiaNgoja nitapiga jioni hii ntakutumia
Mkuu, sio magari ya viongozi wa serikali, madereva wote wa magari ya setikali ni wavunja sheria waliokubuhu. Bahati mbaya askari wa Usalama barabarani wanawaangalia tu, wanahangaika na magari binafsi kana kwamba magari ya binafsi ndio yanaitia hasara zaidi serikali kuliko magari ya serikali.Wanajamvi salaams