William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sisi wana Simba tumekubaliana pasipo na shaka yoyote!Kwani si tumekubaliana wote kwa pamoja ya kwamba Mgunda ni spare tyre! Halafu Matola ni kocha msaidizi wa kudumu! au kuna mtazamo tofauti na huu?
Hata mimi nakubaliana na viongozi. Mgunda ni kocha wa dharula, sio wa kumtegemea kuitengeneza timu ya muda mrefu. Acha waje makocha wa kigeniMgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
Simba ni kubwa kuliko MamelodiKm kocha ametoka South Africa amekuja Tanzania kuifundisha Simba inatakiwa nae Mgunda aende South Africa akaifundishe Mamelodi sundowns. Kwenye maisha ukitaka ufanikiwe fanya onyesha ubora wako watu wataona usipende kulalamika..
Ina makombe mangapi ya CAF?Simba ni kubwa kuliko Mamelodi