Viongozi Simba mnatuonaje?

Viongozi Simba mnatuonaje?

Nina uhakika leo kama si kile kichaka cha matokeo ya penati walichojificha viongozi wa Simba hali ingekua mbaya sana.
Leo yanga walistahili kushinda ila mpira ume kataa.
Yanga watazidi kuimarika na sina shaka vikombe vinakuja.
Hakuna mwana simba yoyote aliyekua na Amani mpaka matuta yalipo jibu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mmelipia penalty za wazi alizokataa refa kwa Simba..malipo yenu ni pale pale mkwakwani mkalala na maumivu...kwa sasa ni kwamba ngao ishakuja Simba mengine ni story tuu
 
Mechi zote mmefungwa magoli ila marefa nao ni binadamu.

Magoli yapi tuliofungwa??

Au una maanisha zile offside mlizokuwa mmejenga vibanda??


IMG_4228.png
 
Simba ina tatizo kwa sisi mashabiki kutaka wachezaji tuwatakao sisi ndo acheze.
Miq hakupaswa sajiliwa ila ndo hivyo kawa gharama kwa timu.

Huyu kipa wa leo naye asianiniwe
Tulia bana, Miq anacheza mpira wa kiwango kikubwa, ni suala la muda aendane na timu. Angalia kesho dakika chache atakazopata dhidi ya Ahly.

Unamwangalia na kumhukumu Miquissone katika mechi za wacheza mieleka,sijui Coast,Prison,Dodoma maguvu kibao na marefa hawaoni mwishowe mtu aumizwe.
 
Jifarijini tu lakini timu yenu Simba mbovu sana

Katika mechi 2 za Ngao ya hisani mmeshindwa hata kufunga goli Moja ndani ya dakika 90
Oyaa nilipitaga hapa kimya, leo nimebahatika kukuona. Mambo vipi?
*Tunaongoza ligi,na magoli tunayo yanatosha,hatujafungwa mechi mpaka sasa wewe tayari,umeshapoteza ngao na unbeaten🤣.
*Tuko makundi klabu bingwa,hapo hesabu tu tuko robo fainali...tutapata point hata za timu kuendelea kujifunga sababu kila saa tuko golini kwa mtu.
*Tuko AFL, kesho na Ahly, uje baada ya mechi kutoa tathmini yako🤣
 
Back
Top Bottom