redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Jiulize pia katika dkk 90 za ngao ya hisani wapinzani wameshindwa kutufunga hata goli moja.
Usiangalie upande mmoja tu.
Mechi zote mmefungwa magoli ila marefa nao ni binadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize pia katika dkk 90 za ngao ya hisani wapinzani wameshindwa kutufunga hata goli moja.
Usiangalie upande mmoja tu.
Mmelipia penalty za wazi alizokataa refa kwa Simba..malipo yenu ni pale pale mkwakwani mkalala na maumivu...kwa sasa ni kwamba ngao ishakuja Simba mengine ni story tuuNina uhakika leo kama si kile kichaka cha matokeo ya penati walichojificha viongozi wa Simba hali ingekua mbaya sana.
Leo yanga walistahili kushinda ila mpira ume kataa.
Yanga watazidi kuimarika na sina shaka vikombe vinakuja.
Hakuna mwana simba yoyote aliyekua na Amani mpaka matuta yalipo jibu.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu.Mpira ninaujua. Zamani uliitwa gozi, mara tango,n.k...ulikuwa na rangi ya black & white tu ⚽ ila siku hizi una rangi nyingi tofauti tofauti. Kwa ufupi, mpira naujua.
Wanajifariji.Mmelipia penalty za wazi alizokataa refa kwa Simba..malipo yenu ni pale pale mkwakwani mkalala na maumivu...kwa sasa ni kwamba ngao ishakuja Simba mengine ni story tuu
Mechi zote mmefungwa magoli ila marefa nao ni binadamu.
Tulia bana, Miq anacheza mpira wa kiwango kikubwa, ni suala la muda aendane na timu. Angalia kesho dakika chache atakazopata dhidi ya Ahly.Simba ina tatizo kwa sisi mashabiki kutaka wachezaji tuwatakao sisi ndo acheze.
Miq hakupaswa sajiliwa ila ndo hivyo kawa gharama kwa timu.
Huyu kipa wa leo naye asianiniwe
Oyaa nilipitaga hapa kimya, leo nimebahatika kukuona. Mambo vipi?Jifarijini tu lakini timu yenu Simba mbovu sana
Katika mechi 2 za Ngao ya hisani mmeshindwa hata kufunga goli Moja ndani ya dakika 90