Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Viongozi wa Simba mnatuonaje?
Mnadhani mashabiki wote ni maamuma?
Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu.
Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba ilikuwa inacheza last season atakubaliana na Mimi. Simba ile iliyocheza dhidi ya Waydad AC away huwezi kuniambia ilikuwa inafundishwa na kocha Mzembe, ntakukatalia.
KWANINI SIMBA INAFANYA VIBAYA SAIV?
1. SIMBA HAIKUWA NA PRE SEASON.
Viongozi mnapenda kuzungumzwa na vyombo vya habari. We had a "Fancy" pre season, ila isiyokamilifu. Pre season ya "mafungu mafungu" Team imeenda pre season na wachezaji wachache, wengi kati ya hao wachache sio "regulars".
Chama, Baleke, Malone, Ngoma, Miq, Onana, Kramo na wengine nilio wasahau.
Hawajaanza pre season na wenzao.
Matokeo yake yanaonekana uwanjani saiv.
2. Mnampangia kikosi kocha.
( Miq kuanza leo, inaelezea hili ).
3.Mmesajili wachezaji wa mashabiki sio wachezaji wa kocha.
Tuombee Mungu team ichanganye Mapema, Vinginevyo itatuwia Ugumu.