Viongozi Simba time is over tuwe makini, kuna msaada unafanyika kwa Power Dynamo ili tuadhalilike j2

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.

Kundi la kwanza ni lao wenyewe linalopambana kuhakikisha kesho wanafuzu baada ya miaka kibao kuishia njiani na kweli wamechafua sana mazingira kwa ajili ya mchezo wa kesho.

Viongozi wa Simba, saa hizi ni mbaya, kufuru lifanyike hata kama kunitoa kafara mie ili jumapili tufuzu niko tayari, chonde chonde Viongozi, mji tunautaka huu kuendelea kuishi, hawa malofa wanafanya haya mambo kimya kimya, wanakuja had kwenye mazoezi yetu wanaokota mchanga na nyasi wanazipeleka kwa wataalamu wao ambao wamehifadhiwa Chanika.

Tusimuamini mtu, msiwaone wanaongelea yao, Leo nimewaona baadhi ya wachezaji na Viongozi wao wakiipelekwa Chanika kupewa 'vijiti' vya kutumaliza kesho, tusipojihadhari wanaweza kutupiga bao 1 0 au 2 1.

Mjumbe hauawahi, kama nadanganya au natafuta Kiki sawa lakini chukueni tahadhani, tunataka furaha t jumapili.
 
Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu...
Ni makolo tu wanaopata tabuya kufungua nyzui za kujitetea na kudai wanahujumiwa ili wapate Cha kujitetea jumapili wakitoka kuukalia
 
Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu...
Acha ushirikina mpira ni uwekezaji sio uganga. Kama mpira ni mambo ya uganga basi waganga watupu wangeunda timu yao kila mwaka wawe wanachukua ubingwa.
 
Well said indeed! Halafu utakuta ni mtu mzima kabisa ameandika haya!
 
Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.

Kundi la kwanza ni lao wenyewe linalopambana kuhakikisha kesho wanafuzu baada ya miaka kibao kuishia njiani na kweli wamechafua sana mazingira kwa ajili ya mchezo wa kesho.

Viongozi wa Simba, saa hizi ni mbaya, kufuru lifanyike hata kama kunitoa kafara mie ili jumapili tufuzu niko tayari, chonde chonde Viongozi, mji tunautaka huu kuendelea kuishi, hawa malofa wanafanya haya mambo kimya kimya, wanakuja had kwenye mazoezi yetu wanaokota mchanga na nyasi wanazipeleka kwa wataalamu wao ambao wamehifadhiwa Chanika.

Tusimuamini mtu, msiwaone wanaongelea yao, Leo nimewaona baadhi ya wachezaji na Viongozi wao wakiipelekwa Chanika kupewa 'vijiti' vya kutumaliza kesho, tusipojihadhari wanaweza kutupiga bao 1 0 au 2 1.

Mjumbe hauawahi, kama nadanganya au natafuta Kiki sawa lakini chukueni tahadhani, tunataka furaha t jumapili.
Yaani simba apigwe kumi au ishirini na moja! Nehi
 
Tutalifanyia kazi swala lako
 
Acha ushirikina mpira ni uwekezaji sio uganga. Kama mpira ni mambo ya uganga basi waganga watupu wangeunda timu yao kila mwaka wawe wanachukua ubingwa.
Aahaaaaaa
 
Yanga kwa ushirikina stori kama hizi sishangazi. Walishafanya soka kama uadui, hawawezi kushindwa hili
Ulishawahi kuona au kusikia Yanga inafanya upuuzi kama huu hadharani hadi kufikia kulipishwa faini na CAF?huko kwenu hadi michezaji inarogana na inapata uzoefu kutokana kuona viongozi wenu wakiamini huu upumbavu kwenye karne hii ya 21,match yenu ya ligi dhidi ya coast kapombe kakataa mkono wa mwenda wakati walipofanyiwa sub,match ya tanga dhidi ya Yanga mkavunja nazi mbele ya bank eti masharti ya mganga!
 
Attachments

  • VID-20181001-WA0005.mp4
    6.6 MB
  • VID-20230518-WA0002.mp4
    4 MB
  • VID-20230814-WA0031.mp4
    2 MB
Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.

Kundi la kwanza ni lao wenyewe linalopambana kuhakikisha kesho wanafuzu baada ya miaka kibao kuishia njiani na kweli wamechafua sana mazingira kwa ajili ya mchezo wa kesho.

Viongozi wa Simba, saa hizi ni mbaya, kufuru lifanyike hata kama kunitoa kafara mie ili jumapili tufuzu niko tayari, chonde chonde Viongozi, mji tunautaka huu kuendelea kuishi, hawa malofa wanafanya haya mambo kimya kimya, wanakuja had kwenye mazoezi yetu wanaokota mchanga na nyasi wanazipeleka kwa wataalamu wao ambao wamehifadhiwa Chanika.

Tusimuamini mtu, msiwaone wanaongelea yao, Leo nimewaona baadhi ya wachezaji na Viongozi wao wakiipelekwa Chanika kupewa 'vijiti' vya kutumaliza kesho, tusipojihadhari wanaweza kutupiga bao 1 0 au 2 1.

Mjumbe hauawahi, kama nadanganya au natafuta Kiki sawa lakini chukueni tahadhani, tunataka furaha t jumapili.
Hii ID ya nganpi Genta
 
Back
Top Bottom