Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani."

Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri ya Congo, Uganda na Zambia.

Mazungumzo hayo pia yanaungwa mkono na Marekani, Umoja wa Ulaya, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na China.

Ukraine inataka Urusi iondoe majeshi yake katika ardhi yake wakati Urusi yenyewe inashinikiza Ukraine ikubali kuliachia eneo la Crimea.

##########

African leaders seek to persuade Russia, Ukraine to cease hostilities

Six African leaders propose that Ukraine accept opening peace talks with Russia even as Russian troops remain on its soil, South Africa's presidency said on Monday, as South African officials prepare to visit both countries to sell the idea.

Ukraine has said Russian troops must withdraw from its territory before talks start, while Moscow wants Kyiv to recognise Russian sovereignty over Crimea, which it annexed from Ukraine in 2014, as a precondition for negotiations. Russian forces carried out a full-scale invasion of Ukraine in February 2022.

"First is the cessation of hostilities. Second is a framework for lasting peace," South African Presidency Spokesman Vincent Magwenya said.

President Cyril Ramaphosa announced the initiative on May 16. President Macky Sall of Senegal, last year's African Union chairman whose country was not present at the latest U.N. vote condemning Russia in February this year, leads the initiative.

It includes presidents Abdel Fattah el-Sisi of Egypt and Hakainde Hichilema of Zambia - which both voted for the resolution - and Congo Republic's Denis Sassou Nguesso, and Yoweri Museveni of Uganda, which both abstaine.

Source: BBC
 
Kwa macho ya fikra za kawaida kabisa, norahisi kugundua kwamba huu ni mpango wa Russia na rafiki zake ambao ni Africa na Asia, pia Ukraine na rafiki zake wa Ulaya na Nato.
Kama wote wamekubali mpango huu wa mazungumzo bilashaka, wanaenda kuingia kwenye mazungumzo yatakayo rufisha amani kwa nchi zote mbili. Ingawa kwa fikra za kawaida Russia hatakiwi kuaminiwa sana kwasababu pana uwezekano mkubwa akatumia fursa hii kuchafua hali ya hewa ili kuionyesha dunia kwamba yeye bado ni mbabe.
Pia Putin anapaswa kua makini sana na Nato, USA pamoja na washirika wao maana hii nafasi ndio wanaenda kuitumia vizuri kwenye karata yao ya mpango wa kummaliza Putin.
 
Ingawa kwa fikra za kawaida Russia hatakiwi kuaminiwa sana kwasababu pana uwezekano mkubwa akatumia fursa hii kuchafua hali ya hewa ili kuionyesha dunia kwamba yeye bado ni mbabe.
Pia Putin anapaswa kua makini sana na Nato, USA pamoja na washirika wao maana hii nafasi ndio wanaenda kuitumia vizuri kwenye karata yao ya mpango wa kummaliza Putin
Yaan hapo ni ukileta urembo umeliwa kichwa
 
Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani."

Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri ya Congo, Uganda na Zambia.

Mazungumzo hayo pia yanaungwa mkono na Marekani, Umoja wa Ulaya, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na China.

Ukraine inataka Urusi iondoe majeshi yake katika ardhi yake wakati Urusi yenyewe inashinikiza Ukraine ikubali kuliachia eneo la Crimea.

##########

African leaders seek to persuade Russia, Ukraine to cease hostilities

Six African leaders propose that Ukraine accept opening peace talks with Russia even as Russian troops remain on its soil, South Africa's presidency said on Monday, as South African officials prepare to visit both countries to sell the idea.

Ukraine has said Russian troops must withdraw from its territory before talks start, while Moscow wants Kyiv to recognise Russian sovereignty over Crimea, which it annexed from Ukraine in 2014, as a precondition for negotiations. Russian forces carried out a full-scale invasion of Ukraine in February 2022.

"First is the cessation of hostilities. Second is a framework for lasting peace," South African Presidency Spokesman Vincent Magwenya said.

President Cyril Ramaphosa announced the initiative on May 16. President Macky Sall of Senegal, last year's African Union chairman whose country was not present at the latest U.N. vote condemning Russia in February this year, leads the initiative.

It includes presidents Abdel Fattah el-Sisi of Egypt and Hakainde Hichilema of Zambia - which both voted for the resolution - and Congo Republic's Denis Sassou Nguesso, and Yoweri Museveni of Uganda, which both abstaine.

Source: BBC
Urusi aliachiwa Crimea hakutosheka
 
Kwa macho ya fikra za kawaida kabisa, norahisi kugundua kwamba huu ni mpango wa Russia na rafiki zake ambao ni Africa na Asia, pia Ukraine na rafiki zake wa Ulaya na Nato.
Kama wote wamekubali mpango huu wa mazungumzo bilashaka, wanaenda kuingia kwenye mazungumzo yatakayo rufisha amani kwa nchi zote mbili. Ingawa kwa fikra za kawaida Russia hatakiwi kuaminiwa sana kwasababu pana uwezekano mkubwa akatumia fursa hii kuchafua hali ya hewa ili kuionyesha dunia kwamba yeye bado ni mbabe.
Pia Putin anapaswa kua makini sana na Nato, USA pamoja na washirika wao maana hii nafasi ndio wanaenda kuitumia vizuri kwenye karata yao ya mpango wa kummaliza Putin.
Putin amalizwe hana busara , nchi ya Ukraine , Georgia na Beralus ilibid azieheshimu maana hizi nchi zilichagua kubakia neutral ili kuonesha bado wanampenda msoviet mwenzao ila Urusi akazigeuza hizo nchi kama training grounds yake
 
Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani."

Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri ya Congo, Uganda na Zambia.

Mazungumzo hayo pia yanaungwa mkono na Marekani, Umoja wa Ulaya, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na China.

Ukraine inataka Urusi iondoe majeshi yake katika ardhi yake wakati Urusi yenyewe inashinikiza Ukraine ikubali kuliachia eneo la Crimea.

##########

African leaders seek to persuade Russia, Ukraine to cease hostilities

Six African leaders propose that Ukraine accept opening peace talks with Russia even as Russian troops remain on its soil, South Africa's presidency said on Monday, as South African officials prepare to visit both countries to sell the idea.

Ukraine has said Russian troops must withdraw from its territory before talks start, while Moscow wants Kyiv to recognise Russian sovereignty over Crimea, which it annexed from Ukraine in 2014, as a precondition for negotiations. Russian forces carried out a full-scale invasion of Ukraine in February 2022.

"First is the cessation of hostilities. Second is a framework for lasting peace," South African Presidency Spokesman Vincent Magwenya said.

President Cyril Ramaphosa announced the initiative on May 16. President Macky Sall of Senegal, last year's African Union chairman whose country was not present at the latest U.N. vote condemning Russia in February this year, leads the initiative.

It includes presidents Abdel Fattah el-Sisi of Egypt and Hakainde Hichilema of Zambia - which both voted for the resolution - and Congo Republic's Denis Sassou Nguesso, and Yoweri Museveni of Uganda, which both abstaine.

Source: BBC
Kuwa na aibu kushare taarifa za hovyo.

Waambie wasuluhishe Kwanza SUDANI.
 
Ni Jambo jema na la Faraja sana kwa Amani ya Dunia lakini nadhani ingekua vema zaidi kwa uchache wanageanza na Sudani, Sudani kusini na angalau Jamuhuri ya Kidemokarasia ya Congo ingua na maana zaidi.
 
Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani."

Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri ya Congo, Uganda na Zambia.

Mazungumzo hayo pia yanaungwa mkono na Marekani, Umoja wa Ulaya, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na China.

Ukraine inataka Urusi iondoe majeshi yake katika ardhi yake wakati Urusi yenyewe inashinikiza Ukraine ikubali kuliachia eneo la Crimea.

##########

African leaders seek to persuade Russia, Ukraine to cease hostilities

Six African leaders propose that Ukraine accept opening peace talks with Russia even as Russian troops remain on its soil, South Africa's presidency said on Monday, as South African officials prepare to visit both countries to sell the idea.

Ukraine has said Russian troops must withdraw from its territory before talks start, while Moscow wants Kyiv to recognise Russian sovereignty over Crimea, which it annexed from Ukraine in 2014, as a precondition for negotiations. Russian forces carried out a full-scale invasion of Ukraine in February 2022.

"First is the cessation of hostilities. Second is a framework for lasting peace," South African Presidency Spokesman Vincent Magwenya said.

President Cyril Ramaphosa announced the initiative on May 16. President Macky Sall of Senegal, last year's African Union chairman whose country was not present at the latest U.N. vote condemning Russia in February this year, leads the initiative.

It includes presidents Abdel Fattah el-Sisi of Egypt and Hakainde Hichilema of Zambia - which both voted for the resolution - and Congo Republic's Denis Sassou Nguesso, and Yoweri Museveni of Uganda, which both abstaine.

Source: BBC
Huu mpango sijui kama utafanikiwa maana Putin anataka kuionyeshea dunia ana manguvu sana ya kijeshi
 
Wameshachoshwa na vita(warusi/wa ukraine); wanatafuta chanzo cha kusitisha vita tu
 
Dikteta Ajuza anajiandaa kwenda Ukraine
Screenshot_20230330-164914.jpg
 
Back
Top Bottom