Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali.
Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka .
Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka . Hii imeonyesha dhahiri kabisa kuwa viongozi hawazijui hali za wananchi wao.
Inashangaza sana kuona viongozi wamekaa ,bunge limetunga sheria na wote hawa ni wawakilishi wa wananchi ,bila kutafakari kwa kina athari ambazo zingejitokeza .
Lakini ni ukweli kuwa viongozi kwa maamuzi wanayoyafanya wenda hawajui hali za wanachi. Hawajui ni jinsi gani mwanachi anaumia kwa elfu moja yake inayopotea .
Wabunge wengi wanamakazi yao mijini na hasa kwenye majiji makuu ya nchi yetu ,wengi wao hawarudi majimboni kuona shughuli zinavyoendelea majimboni kwao na wakirudi hukaa maofisini.
Baadhi ya kauli pia zinazotolewa na viongozi huku zikiendelea kuwakandamiza wanachi zimekuwa zikileta uwalakini kwa utambuzi wa hali za wapiga kura wao .
Maoni yangu
Ni vyema sana viongozi kuwa wanafanya upembuzi mzuri kwa sheria zinazotungwa ,kuwashirikisha wadau wa maendeleo katika maamuzi ifanyike mwanzoni kabsa siyo baada ya kilio na malalamiko ya watu nchi nzima ndo viongozi washtuke .
Wabunge warudi majimboni wabebe mahitaji ya wanajimbo na kuyawasilisha siyo kubakia tu kutetea changamoto walizoziona wakati wa kampeni.
Kauli za viongozi kwa wananchi zilenge katika kuwahasisha na kuwajenga katika kuzitatua changamoto zao.
Hitimisho
Ni vyema kupendekeza mambo yanayokubaliwa na jamii. Kuliko kusubiri kilio chao baada ya maamuzi kufanyika. Uchungu wa maendeleo ni kwa wote tushirikiane katika kutatua changamoto.
Na ,
Kaladero