Viongozi unapoishi wanawajibika kwa wakati au maneno mengi tu?

Viongozi unapoishi wanawajibika kwa wakati au maneno mengi tu?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722


Katika hali kama hizi ambapo miundombinu huharibika kutokana na sababu mbalimbali na kusababisha Wananchi kuingia kwenye mateso makubwa wanapokosa huduma za msingi kwa muda mrefu.

Hali hiyo huhitaji maamuzi ya haraka ya kurekebisha miundombinu bila kusubiri msukumo kutoka ngazi za juu, lakini viongozi wengi kwa ngazi za chini wakikwepa kuwajibika hivyo kupelekea usumbufu kwa wananchi wanaohitaji huduma husika kwa wakati huo

Uwajibikaji wa haraka wa viongozi wa ngazi za chini ni muhimu sana katika kupunguza athari kwa wananchi. Kwa mfano, kuwepo kwa mipango madhubuti ya kukagua miundombinu kabla na baada ya mvua kubwa, kushirikisha jamii mapema, na kutoa taarifa kwa wakati kunaweza kuokoa maisha na mali. Tusisubiri hadi hali iwe mbaya ndipo hatua zichukuliwe
 
Back
Top Bottom