Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni kichekesho, tunashindwa kusuluhisha watu wetu tutawaweza Wazungu? WanatuchekaHalafu juzi hapo kuna usi niliusoma ukimnukuu Putin akimshangaa Zelensky kwa kuwasaidia waafrika wakati waafrika ni wavivu.
Sasa sijajua hao maraisi hawakuisikia hiyo habari au wameamua kuipotezea.
Au haikuwa taarifa ya kweli
Wamekwenda kuomba chakula kutoka Ukraine na kumwambia Putin hasizuie usafirishajiKuna viongozi wa Afrika wakiongozwa na Ramaphosa wako Ukraine na Urusi kuwaambia waache kupigana, je, ni sawa kufanya hivyo? wataweza? au walipaswa kuanzia na Sudan, Somalia, DR Congo na Ethiopia kabla ya kwenda Ulaya?
Ile sio vita kati ya Ukraine na Urusi, bali ni vita ya US na UK kwa upande mmoja na URUSI kwa upande mmoja. Viongozi wa Afrika kwenda kwa zeelensky ni kuonyesha kuwa wameenda kujifaragua TU. Mimi ningewasifu kama safari Yao hii ingekuwa kwenda kuonana na Biden/NATO na Putin kuwaambia waache vita. Hata hivyo Mzee Mpili hawezi kumpa ushauri Bakhereza wa namna ya kufanya biashara. Wazungu wanawadharau sana Waafrika ambao wanashindwa hata kuwapa watu wao chakula na maji ya kunywa.Ngoja niwe mimi tu ninataka kuamini uenda Putin akakubaliana na ombi la Marais wa Africa juu ya Ukraine.
Kweli kaka huu ndio ule wakati wa Waafrika kuwalisha Wazungu, wahindi na Waarabu na waafrika kulishana na kuuziana wenyewe kwa wenyewe vita ikiisha wanaikuta Africa ikiwa donner countries.Yaani hapo wameshinikizwa tu kwenda huko ili walau waonekane wali against Rusia! Wasuluhishe kwanza
Sudan
Somalia
Congo
Boko Haram
Huu ulikuwa wakati wa Africa kujiimarisha kiuchumi wakati ulaya wanavurugana na Rusia.
No matter how many conspiracy theories you people post, it will never change the absolute, undisputed fact that the war started when Putin cowardly invaded a sovereign country after spending weeks denying an invasion was imminent.Ile sio vita kati ya Ukraine na Urusi, bali ni vita ya US na UK kwa upande mmoja na URUSI kwa upande mmoja. Viongozi wa Afrika kwenda kwa zeelensky ni kuonyesha kuwa wameenda kujifaragua TU. Mimi ningewasifu kama safari Yao hii ingekuwa kwenda kuonana na Biden/NATO na Putin kuwaambia waache vita. Hata hivyo Mzee Mpili hawezi kumpa ushauri Bakhereza wa namna ya kufanya biashara. Wazungu wanawadharau sana Waafrika ambao wanashindwa hata kuwapa watu wao chakula na maji ya kunywa.
Unaongea ujinga, msikie huyuNo matter how many conspiracy theories you people post, it will never change the absolute, undisputed fact that the war started when Putin cowardly invaded a sovereign country after spending weeks denying an invasion was imminent.
It will also never change the fact that the Germans, Macron and Biden desperately tried to head off the war. From repeated trips or calls to Moscow to extracting assurances from Putin that an invasion wouldn’t happen.
One side started this war. I love Seeing you people vomit blood because the western countries are helping to arm Ukraine to resist their cowardly neighbor