Viongozi wa Chadema badala ya kuomba michango mitaani jifunzeni kwa Madam Esta Bulaya amewekeza kwenye kilimo cha kisasa

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.

Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.

Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.

Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
 
..shughuli za vyama vya siasa zinapaswa kuchangiwa na wananchi, na sio kutegemea uwekezaji wa viongozi.

..Donald Trump pamoja na kwamba ni BILLIONEA lakini kampeni zake na za chama chake zinaendeshwa kwa michango midogo midogo ya wananchi.

..hata Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru kupitia chama cha TANU walikuwa wakichangiwa na wananchi.

..Ni bahati mbaya baada ya Uhuru na tulipokuwa na chama kimoja TANU/Ccm wakaanza kujipakulia mapesa toka serikalini / hazina.
 
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.

Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.

Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.

Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Hapana wajifunze kwa GSM na vibosile walio changaia CCM 110+ billion ndani ya masaa matatu.
 
Heee, sasa kuna kiongozi anategemea hela za chama kulishia familia yake? Wajifunze kwa Ester Bulaya yeye ni nani? Basi ungewashauri wabunge wa kike wajikite kwenye kilimo kuliko kutegemea papapusa iwasaidie katika teuzi mbali mbali
 
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.

Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.

Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.

Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Kwenye kuwekeza kwenye kilimo nakuunga mkono, lakini kwenye kubet, tuache tutafute hela ya kunywa Konyagi.
 
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.

Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.

Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.

Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Wewe zezeta umefufuka tena? Sijakuona siku nyingi ukihara hapa JF, au ulikuwa unatumia ID nyingine?
 
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.

Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.

Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.

Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
heche baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, eti sasa anafisidi pesa za chadema kujikomboa tena kiuchumi.

hii dunia ina mambo sana aise dah,
halafu sasa cha kushangaza, kapiga pesa za chadema, kaenda kuikomboa Crown yake tu TRA, zingine zote zimeishia kwenye kamari nyu afrikani oteli🐒
 
Chama cha siasa hakitakiwi kufanya biashara , kinatakiwa kuendeshwa na wanachama na kiwe accountable kwa wanachama na wananchi kiujumla .

Mtindo wa kufanya biashara na chama ndio umefanya mpaka sasa hakuna kidampa anayezungumzia ICD alizotengeneza GSM na zinaleta foleni kisa alichangia biliono 10 CCM.
images - 2026-08-15T021551.165.jpeg
 
heche baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, eti sasa anafisidi pesa za chadema kujikomboa tena kiuchumi.

hii dunia ina mambo sana aise dah,
halafu sasa cha kushangaza, kapiga pesa za chadema, kaenda kuikomboa Crown yake tu TRA, zingine zote zimeishia kwenye kamari nyu afrikani oteli🐒
Analima lini bulaya nataka nkirudi hko nirudi kwenye kilimo na mimi

Ova
 
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.

Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.

Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.

Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Vipi Hapi bado anaendelea na kilimo?
 
heche baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, eti sasa anafisidi pesa za chadema kujikomboa tena kiuchumi.

hii dunia ina mambo sana aise dah,
halafu sasa cha kushangaza, kapiga pesa za chadema, kaenda kuikomboa Crown yake tu TRA, zingine zote zimeishia kwenye kamari nyu afrikani oteli🐒
Heche ni Kiongozi mheshimu japo kidogo
 
Heche ni Kiongozi mheshimu japo kidogo
tunaheshimiana sana na tunajuana vizuri sana gentleman,

ila tu rafiki yangu heche alipokubali kujiingiza kwenye masuala ya kubeti kwa ushawishi wa msigwa na lema nilianza kujitenga nae kwasababu alianza kuacha hata kushiriki sabato, na matokeo yake akafilisika hata pension yake yote ya ubunge ndio maana mpaka leo hana hata nyumba, huku waakina sugu wakiwa na mahoteli n.k🐒
 
Chama cha siasa hakitakiwi kufanya biashara , kinatakiwa kuendeshwa na wanachama na kiwe accountable kwa wanachama na wananchi kiujumla .

Mtindo wa kufanya biashara na chama ndio umefanya mpaka sasa hakuna kidampa anayezungumzia ICD alizotengeneza GSM na zinaleta foleni kisa alichangia biliono 10 CCM.View attachment 3653383
 
Attachments

  • 20260711_201740.jpg
    20260711_201740.jpg
    39.3 KB · Views: 6
Hakuna mwanachama hapo umeona kwenye box kaweka bilioni 10 ili baadae afanye blackmail.
 
Back
Top Bottom