Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Unalia sasaHadi kobaz mwandamiz anabaki kucheka tu.

Hivi bilion 10 gsm alichangia chama gani?Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.
Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.
Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.
Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Kaishauri pia Misikiti na MakanisaWote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.
Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.
Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.
Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Unataka mashamba wayachome Moto?Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.
Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.
Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.
Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Mbona unaumia sana.Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.
Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu Hela ya wiz haijawahi kuwa na baraka.
Hebu jiulizeni Hela alizochangisha Tundu Lissu alifanyia nini 🤣 aliishia kula tu alishindwa hata kupaka rangi gari lake ndo mjue kuwa Hela za wizi zimejaa laana.
Watanzania tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa badala ya kubet au kula kwa kupitia donation za wizi zisizo na mapato na matumizi....Kodi shamba Lima mbolea ipo ya kutosha - Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameleta mbolea huku kijjn zakutosha hazikauki ushindwe wewe.
Hakuna kitu kama hicho nduguUnataka mashamba wayachome Moto?