Uchaguzi 2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

Uchaguzi 2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

Acha porojo. Kuna watu walipigwa risasi 16. Wewe unajua mpaka mtu akimbie nyumba na biashara zake ni mchezo siyo? Tena mwanaume? Shut up.
Hata Usa watu wanapigwa risasi,sio sababu ya kuchafua taswira ya taifa letu.
 
Aibu kubwa ni kwa CCM kutumia vyombo vya dola na NEC kuiba kura waziwazi na kuua na kujeruhi watu.
 
Mliua,kuteka na kila aina ya uovu sasa hayo hamkuoyaona kama yanawatia doa au hujui?
 
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa....
Jamani muwege na akili hata kidogooo, hivi zile risasi 38 alizopigwa Lissu ni propaganda?
Waliompiga wamekamatwa?

Mmetuletea jiwe linatutia aibu sana..acheni kujifanya hamna akili!
 
Jamani muwege na akili hata kidogooo, hivi zile risasi 38 alizopigwa Lissu ni propaganda?
Waliompiga wamekamatwa?

Mmetiletea jiwe linatutia aibu, halisagishiki...acheni kujifanya hamna akili!
Hii post yako ifute haingii hapa.
 
Hata Usa watu wanapigwa risasi,sio sababu ya kuchafua taswira ya taifa letu.
Na ikitokea USA amepigwa risasi mtuhumiwa anatafutwa na sheria inachukua mkondo wake. Inakuwa both kwa state aparatus na kwa group/individuals committing crime(s). Taswira ipi vile. Tunacholilia ni ile amani yetu irudi maana inatoweka. Ni hivi sisi tuliobahatika kuzaliwa before au just after Nyerere took over tunajua tunachoongea. We are loosing our Credibility. I am in tears. Siamini ninachokiona nakuhakikishia.
 
We dogo amani gani unataka irudi? Tanzania hakuna amani?
 
Mleta mada wewe unaumia nini kwa viongozi wa CHADEMA kukimbilia kokote kuokoa maisha yao?

Unaweza kuwahakikishia usalama wa maisha yao wakiendelea kuwa huru mitaani hapa Tz katikati ya vitisho vizito vya kuuwawa ?
 
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa...
Mkuu chagu wa malunde, bora useme wewe, tukisema sisi tunaishia kuitwa makada, lakini kiukweli baadhi ya hawa jamaa zetu, kichwani, sio wazima kabisa!.

P
 
Subiri wawamalize wapinzani next mtakua wa nyumba mmoja kipindi hiki mtaitisha press kabisa kumuita mfalme "mshamba"
 
kwani Lissu alipigiwa risasi Zimbabwe? Mauaji ya Tarime na Zanzibar yamefanyika Rwanda? Nikweli Tanzania sio sehemu sahihi kwa wakosoaji wa serkali hii dhalimu.
 
Nani mwenye hati miliki wa ballot paper? Sinitume ilikuwaje zinazagaa mitaani kama mchanga?
DSC_9228.JPG
View attachment 1622911
 
Back
Top Bottom