Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura ziliibiwa wapi? Mnatengeza clip za uongo kuaminisha watu upuuzi! Kama waliiba si mfungue kesi na sio kwenda nje kuwa wakimbizi.
Katiba ya kilofa. matokeo hayapingwi mahakamani na rais hashitakiwiKura ziliibiwa wapi? Mnatengeza clip za uongo kuaminisha watu upuuzi! Kama waliiba si mfungue kesi na sio kwenda nje kuwa wakimbizi.
Maneno mengi upuuzi mtupu, hakuna Cha sera Wala uchaguzi hii ni takataka .shida ni tume tu na ndio maana hamtaki kusikia time huruMkuu umeeleza vizuri sitaki kurudia.Leo narudia kushauri upinzani nini kifanyike ili kuweza kutoa upinzani wa TIJA kwa CCM na nchi.
USHAURI.
1-Upinzani ukubali kufuata misingi ya chama-Nendeni mkaanzishe mashina na matawi vijijini.Po pote walipo CCM na nyie muwepo.
2-Wekezeni kwa vijana waliokuwa tayari kuwa wanachama na sio washabiki ambao siku zote wana madhara kwa chama wakati wa uchaguzi
3-Pamoja na kufungua matawei,machina,tarafa,wilaya,mikoa hadi taifa,WANACHAMA WAJUE ITIKADI YA CHAMA.
4-chama kiache kuwa cha harakati,badala YAKE kifanyeni kuwa chama cha siasa,kinachopigania kuchukuwa dola
5-Enezeni sera kwa watu,sio kwenye mitandao ya kijamii.
6- Ninaposema sera,wanachama wanapaswa kujua nini sera za chama kuhusu:-
(a) Elimu
(b) Kilimo ,uvuvi na mifugo.
(c) Sera za chama kuhusu ULINZI,AFYA,MAMBO YA NJE,MALI ASILI NA UTALII,UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI,MADINI,NISHATI na kadhali na kadhali.
Yaani mwanachama ajue kwa undani ni chama kinasimamia.Hii ya kukaa mijini mnangojea miezi miwili ya kampeni ndipo mchukue nchi kwa kushinda uchaguzi,mmejidanganya,mnajidanganya.mtajidanganya.
7-Msikurupuke kuchukuwa makapi toka cha tawala,na kuwafanya wagombea,hii maana yake ni moja tu,HAMKUJIANDAA.