Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #121
Pumbavu shenzi.Tuambie kwanza ni nani waliotaka kumuua Mh Lissu. Je ni hatua gani iliwahi kuchukuliwa na vyomba vya usalama kutokana na jaribio lile??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu shenzi.Tuambie kwanza ni nani waliotaka kumuua Mh Lissu. Je ni hatua gani iliwahi kuchukuliwa na vyomba vya usalama kutokana na jaribio lile??
Mada ipi?Ahaaaaaaa,yaani ukweli umekuwa kujitoa fahamu.? Na ndio sababu ya kukosa kipato cha kujitegemea? Naomba ujikitw kwenye mada. Maana mmeshaaibika.
Kama hujui kaa kimya.Mada ipi?
Pamoja na yote bado sitachoka kukuombea kwani kwa kweli wahitaji msaada. AMENKama hujui kaa kimya.
Futa kauli yako eti tumeichagua ccm kwa kishindo,Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Kilichoko mezani si mada ni upuuzi tu. Mkuu uchaguzi umekwisha na tumeshinda ushindi wa sunami, si upumzike sasa uangalie majukumu mengine ya ujenzi wa Taifa. Au hii ndio shughuli yako rasmi inayokuweka hapo mjini? ya kubishana na watu mia kidogo ukiwa peke yako.Uteuzi unahusika vipi? Jadili mada iliyopo mezani.
Acha hasira, uchaguzi kuisha sio mwisho wetu kutoa maoni. Maana haya walioamua viongozi wa Cdm hayana uhusiano na uchaguziKilichoko mezani si mada ni upuuzi tu. Mkuu uchaguzi umekwisha na tumeshinda ushindi wa sunami, si wa sasa uangalie majukumu mengine ya ujenzi wa Taifa. Au hii ndio shughuli yako rasmi inayokuweka hapo mjini? ya kubishana na watu mia kidogo ukiwa peke yako.
Mkuu umeeleza vizuri sitaki kurudia.Leo narudia kushauri upinzani nini kifanyike ili kuweza kutoa upinzani wa TIJA kwa CCM na nchi.Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Sasa utoe hoja zenye mashiko na si ushabiki mbuzi unaoufanya hadi kuonekana kituko humu JFAcha hasira, uchaguzi kuisha sio mwisho wetu kutoa maoni. Maana haya walioamua viongozi wa Cdm hayana uhusiano na uchaguzi
Mzee Pombe amesema hatarajii kufanya uteuzi wa makada kwa kipindi hichi.
Tumieni akili risasi 38 kwenye nyumba za viongozi mpaka leo kimya..nenda Facebook kwa Mange ulione DC Sabaya limeonekana kwenye CCTV camera limebeba bunduki na wapambe wake wanavamia kwa Mbowe usiku wa mananeAmefanya kampeni miezi miwili kuna mtu alimgusa? Nchi hii inafuata misingi ya sheria. Anaogopa nini?
Kituko?Sasa utoe hoja zenye mashiko na si ushabiki mbuzi unaoufanya hadi kuonekana kituko humu JF
Kwanini mlimwua Alphonce Mawazo?Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Nje ya madaKwanini mlimwua Alphonce Mawazo?
Kwanini mlimwua Ben Saanane?
Kwanini Mlimwua Azory Gwanda?
Kwanini mlimpiga Lissu risasi?
Maelfu ya raia mliowaua Pemba na Kibiti na kula nyama zao hamjaridhika tu, bado Mnataka kuua wengine? Kweli Nyerere Alijua mengi, alisema Kiongozi akishaonja nyama ya Mtu hataacha kuendelea kula nyama za watu na kunywa damu zao...
Jikite kwenye mada husika.Kwanini mlimwua Alphonce Mawazo?
Kwanini mlimwua Ben Saanane?
Kwanini Mlimwua Azory Gwanda?
Kwanini mlimpiga Lissu risasi?
Maelfu ya raia mliowaua Pemba na Kibiti na kula nyama zao hamjaridhika tu, bado Mnataka kuua wengine? Kweli Nyerere Alijua mengi, alisema Kiongozi akishaonja nyama ya Mtu hataacha kuendelea kula nyama za watu na kunywa damu zao...
Unajisikia hatia? Mkishakula nyama za watu hamtaachaNje ya mada
Jikite kwenye madaUnajisikia hatia? Mkishakula nyama za watu hamtaacha
You feel guilty au siyo...acheni kuua watuJikite kwenye mada husika.
Maajabu ina maana maumivu yote wanayopitia huyaoni!!???? Au hata ya mdude,nusrat,mawazo na mengine mengu huyajui!!???Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Vipi ule kesi yao ya ugaidi imeishia wapi?Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.