Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawataki tuwe tunapokezana kama usa .Kama mmeshindwa kumuhakikishia Lissu ulinzi wake mpaka leo, unataka wafanyeje? unaweza kukaa sehemu usiyo na amani?
Upinzani sio uadui, fungueni akili zenu.
Mwaka huu kick zenu zote zinabuma mapema mbouna mkuu😂😂😂😂😂??Unataka wabakie ili uwapige risasi 16?
Endelea tu kujidanganyaKama wanataka kumuua angefika hata huko Namanga? Acheni uongo wenu.
Habari mbaya sana kwa Mayalla njaa!Mzee Pombe amesema hatarajii kufanya uteuzi wa makada kwa kipindi hichi.
Ahahaha!! Lumumba unatoa comment umeelewa nilichokiandika? Kwa msaada wa nani?Unasubiri nin sas.. si uende huko Ukimbizini
Unatengeneza clip ambayo maaskari polis wakionekana humo kwa utambulisho wa sura na namba zao za kazi. Halafu polis hawa wa kwetu wenye inteligensia kali ya kunasa wakuaje hivi hivi? Kweli akili za mafiem anajua tuzitwist yule bwana anayeitwa Harakaharaka wa pale Lumumba. Kuweni na hata chembe ya iabu basi, kwani hamjaridhika tu na huo wizi wa kura? Mnataka nini zaidi? Sasa kama mtu anaondoka na kukuacha utawale bado kuna shida?Kura ziliibiwa wapi? Mnatengeza clip za uongo kuaminisha watu upuuzi! Kama waliiba si mfungue kesi na sio kwende nje kuwa wakimbizi.
Unashahidi kuwa kuna mtu kaambiwa atachinjwa? Watu wanamkosoa sana tu JPM ila cha msingi tumia lugha ya staha.Nikuulize kijana wa kitanzania chagu wa malunde unaweza kuishi kwa amani nyumbani kwa babako wakati huo huo unaambiwa babako anataka kukuchinja?
Otherwise haya maisha ya kuishi nchini mwako huku unaogopa kumtaja hata kwa wema rias wa nchi unadhani uliowahi kuona wapi?
Marais waliopita wao hawakuwa na nguvu kama aliyo nayo huyu?
Wakati anafanya kampeni al8kuwa analindwa na nani?Kama mmeshindwa kumuhakikishia Lissu ulinzi wake mpaka leo, unataka wafanyeje? unaweza kukaa sehemu usiyo na amani?
Upinzani sio uadui, fungueni akili zenu.
Ok, Mimi ni Daktari, nasema ivi WATU WALIKUFA KWA COVID-19 na katika Hosp yetu karibu vifo 54 vilitokana na janga hili.
Turudi kwa Mada yako.. Mimi nadhan ni mpumbavu pekee na punguani ambaye atasimama mbele ya watu kusema uchaguzi ulikua huru na haki.
Ni mpumbavu pekee anayeweza jitia upofu kiasi cha kutokuona mauaji, mateso na manyanyaso, wizi wakura ambao umefanyika kipindi hiki.
Mi nadhan ni watu wenye njaa, wajinga na wahuni kama WEWE ndio mnaweza kushupaza shingo kwaajili ya Upumbavu.
#KATAAKATAKATAKUALIJINGA#
Mimi nmewarekodi wasimamizi wa uchaguzi zaidi ya 5
Wanakiri haya
1--Kura feki zilikuapo nyumban kwao hata kabla ya uchaguzi
2-ambao hawakua na Kura, iliwalazim kuwapa karatasi zaidi ya 10 kila mpiga kura wa CCM .
3-Mawakala walishudia, na ukileta ujinga unatolewa nje au wanakuitia polisi.
[emoji867]
Unashahidi kuwa kuna mtu kaambiwa atachinjwa? Watu wanamkosoa sana tu JPM ila cha msingi tumia lugha ya staha.
💪Lisu aliambiwa sana na akaripoti hakuna hatua zilizochukuliwa, kapigwa marisasi hakuna hatua zaidi ya kusema aje ahojiwe.
Amekuja na hakuna alomhoji.
Masheitwani wanapeta mitaani na mibunduki kusaka waana wa Mungu