Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #21
Hata Usa watu wanapigwa risasi,sio sababu ya kuchafua taswira ya taifa letu.Acha porojo. Kuna watu walipigwa risasi 16. Wewe unajua mpaka mtu akimbie nyumba na biashara zake ni mchezo siyo? Tena mwanaume? Shut up.
Nchi inafuata misingi ya nini ,naomba urudieAmefanya kampeni miezi miwili kuna mtu alimgusa? Nchi hii inafuata misingi ya sheria. Anaogopa nini?
Labda kama una jamaa zako kwenye ukoo wenu waliuliwa hovyo tuwekee vyeti vya vifo.Mliua,kuteka na kila aina ya uovu sasa hayo hamkuoyaona kama yanawatia doa au hujui?
Jamani muwege na akili hata kidogooo, hivi zile risasi 38 alizopigwa Lissu ni propaganda?Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa....
Hii post yako ifute haingii hapa.Jamani muwege na akili hata kidogooo, hivi zile risasi 38 alizopigwa Lissu ni propaganda?
Waliompiga wamekamatwa?
Mmetiletea jiwe linatutia aibu, halisagishiki...acheni kujifanya hamna akili!
Unasubiri nin sas.. si uende huko UkimbiziniI'm also on my way to leave this land of thugs, whose "boss" is barbaric and embracing thuggery.
Na ikitokea USA amepigwa risasi mtuhumiwa anatafutwa na sheria inachukua mkondo wake. Inakuwa both kwa state aparatus na kwa group/individuals committing crime(s). Taswira ipi vile. Tunacholilia ni ile amani yetu irudi maana inatoweka. Ni hivi sisi tuliobahatika kuzaliwa before au just after Nyerere took over tunajua tunachoongea. We are loosing our Credibility. I am in tears. Siamini ninachokiona nakuhakikishia.Hata Usa watu wanapigwa risasi,sio sababu ya kuchafua taswira ya taifa letu.
Hivi bado ameshikiliwa?Free Mazurui..
We dogo amani gani unataka irudi? Tanzania hakuna amani?Na ikitokea USA amepigwa risasi mtuhumiwa anatafutwa na sheria inachukua mkondo wake. Inakuwa both kwa state aparatus na kwa group/individuals committing crime(s). Taswira ipi vile. Tunacholilia ni ile amani yetu irudi maana inatoweka. Ni hivi sisi tuliobahatika kuzaliwa before au just after Nyerere took over tunajua tunachoongea. We are loosing our Credibility. I am in tears. Siamini ninachokiona nakuhakikishia.
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa....
We kweli mfuasi wa mwenyekiti mwenye wazimu!Hii post yako ifute haingii hapa.
Mkuu chagu wa malunde, bora useme wewe, tukisema sisi tunaishia kuitwa makada, lakini kiukweli baadhi ya hawa jamaa zetu, kichwani, sio wazima kabisa!.Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa...