Upinzani tanzania haupo kwa maslahi ya taifa ndio maana chadema itafutika. Sasa hivi uongozi umetawanyika utafikiri panya wamesambaratishwa kwenye maficho yao. Kila mmoja anatafuta kuficha aibu ya kushindwa. Walijidai eti wameibiwa kura bwana zao kupitia yule mwanasheria shoga armsterdam kawashauri waandamane. Mara ikabainika hakuna wa kuwaunga mkono maana ni kweli wamepigwa kwenye sanduku la kura.Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Mada kuu haijadili masuala ambayo yapo mahakamani. Tunajadili huu upotoshaji wa kutafuta ukimbizi wa kitapeli.Maajabu ina maana maumivu yote wanayopitia huyaoni!!???? Au hata ya mdude,nusrat,mawazo na mengine mengu huyajui!!???
Wewe serikali imekuandikia barua ya kukuhakikishia ulinzi? kipindi anazunguka na kufanya kampeni usiku alikuwa amendikiwa barua ya kuhakikishiwa ulinzi? Hoja ya kitoto kweliKama mmeshindwa kumuhakikishia Lissu ulinzi wake mpaka leo, unataka wafanyeje? unaweza kukaa sehemu usiyo na amani?
Upinzani sio uadui, fungueni akili zenu.
Waende tu kokote wanakotaka kwenda, lakini Tanzania itabaki salama na hakuna wa kuiyumbisha!Kama mmeshindwa kumuhakikishia Lissu ulinzi wake mpaka leo, unataka wafanyeje? unaweza kukaa sehemu usiyo na amani?
Upinzani sio uadui, fungueni akili zenu.
Hakusikia hilo.bado anapoteza muda wakeMzee Pombe amesema hatarajii kufanya uteuzi wa makada kwa kipindi hichi.
Wewe kichwa panzi na wenzio msijiganganye kuwa CHADEMA imefeli! Kama una akili za kuvukia barabarani sawa tutakuelewa na kukusamehe kwani nao ni ulemavu.Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Mhe kasemaHii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa.
Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm sasa mnataka kuiaminisha jumuia ya kimataifa kuwa hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je mbona mlipokuwa wabunge hizi propaganda zenu hatukuzisikia?
Sasa hivi mmezua mchezo mchafu eti mnatafuta hifadhi kama wakimbizi wa kisiasa kuwa kuna tishio la kuuliwa na vyombo vya dola. Mnachotaka tu ni kuchafua taswira ya nchi yetu kuwa hakuna amani na kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Je kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona UN wapo kimya na wana ofisi hapa Tanzania.
Kama vyombo vya dola vilitaka kumuua G Lema wangemuacha yupo salama wiki zote hizi mbili tangu uchaguzi uishe? L Nyalandu anatafuta kick kuwa anakimbia kuuliwa hivi mwanasiasa ambae unataka kuuliwa watu watakuacha hizi siku zote upo salama?
Godbless Lema alipokuwa mbunge alikumbana na kesi nyingi sana,na mpaka alikaa mahabusu miezi minne mbona alipotoka mahabusu hakukimbilia Kenya kwenda kuomba hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa?
Kwa ujumla ni kutokubali matokeo ndio sababu ya kutaka kuchafua taswira ya nchi yetu. Na kukosa ubunge ambao kwenu mlidhania nia ajira za kudumu ndio sababu mnataka kwenda kujifanya wakimbizi.
Na hii propaganda mlioamua kuitumia itabuma na mtaaibika zaidi na huu ndio unaenda kuwa mwisho wenu mbaya kisiasa. Maana watanzania wana akili na hawadanganywi kitoto.
Nota bene : Kila propaganda mlizoanzisha zote zilibuma,kumbukeni wakati wa Covid-19 mlipata aibu kubwa,amabayo imewanyima kura.
Nasikia Mbelgiji kakwea pipa? Sasa ka kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona kaondoka kwa amani?Wewe na makalio yako upo kijiweni bila kuwa na wasiwasi na maisha yako lakini wenzako vijana kama Lema wana uchungu wa nchi yao na maisha yao wameambiwa yako hatarini na wazalendo ndani ya usalama wa taifa. Wewe badala ya kufiria nchi yetu imefikaje hapa unafikiria Chadema! hawa ndiyo tunaosema misukule
Nasikia Mbelgiji kakwea pipa? Sasa ka kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mbona kaondoka kwa amani?
Huna akili we bwege, kama wangetaka kumkamata wangemkata,hujui sheria za kimataifa we fala, ndani ya ubalozi alikuwa na kinga. Huku nje walikuwa wanaweza kufanya lolote kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamuUkiukwaji wa haki za binadamu unajua hata maana yake ndugu? vijana wengi maboya siku hizi. Yaani ukitoka kwenye balozi ya ujerumani na kwenda airport na kusafiri ina maana kila kitu poa !!! acheni kuwa misukule na fungueni macho yenu
Huna akili we bwege, kama wangetaka kumkamata wangemkata,hujui sheria za kimataifa we fala, ndani ya ubalozi alikuwa na kinga. Huku nje walikuwa wanaweza kufanya lolote kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu
Hivi chadema wangekua wamechukua majimbo yote kasoro mawili kwenye uchaguzi, halafu CUF na CCM wakapata kitu kimoja kimoja mngesema CCM waachiwe baadhi ya majimbo ili kuweka balance bungeni?Huna akili we bwege, kama wangetaka kumkamata wangemkata,hujui sheria za kimataifa we fala, ndani ya ubalozi alikuwa na kinga. Huku nje walikuwa wanaweza kufanya lolote kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu
Mhanga mkuu ni Lissu,mbona amekwea pipa? Tulitegemea alianzishe ukweli ujulikaneHaki za binadamu ni zaidi ya shikashika Lissu hajapigwa risasi? Nani kashikwa mpaka leo? Kesi inaendeleaje mbona alirudi na kesi bado haijaendelea. Tunavyosema kula misukule na vichwa panzi ni hawa
Mhanga mkuu ni Lissu,mbona amekwea pipa? Tulitegemea alianzishe ukweli ujulikane
Jaribu kufikiria kama ungalikuwa ni wewe!!!!! Mara ya kwanza umefuatiliwa na ukaambiwa utapigwa risasi na baadae ukapigwa!! halafu ijirudie tena!! Chukua tahadhari!!Mada kuu haijadili masuala ambayo yapo mahakamani. Tunajadili huu upotoshaji wa kutafuta ukimbizi wa kitapeli.
Kungekuwa na uhuru na haki angelianzisha!!! Hata hivyo si unaona nguvu kubwa iliyotumika kuzuia!!Mhanga mkuu ni Lissu,mbona amekwea pipa? Tulitegemea alianzishe ukweli ujulikane
Jadili andiko langu kuu,achana na stori zingine.Jaribu kufikiria kama ungalikuwa ni wewe!!!!! Mara ya kwanza umefuatiliwa na ukaambiwa utapigwa risasi na baadae ukapigwa!! halafu ijirudie tena!! Chukua tahadhari!!
Nyie ndio mnasemaga hivi halafu mnasafirishwa hadi dodoma kwenda kushuhudia mbunge wako anavyoapishwa,,halafu unarudi nyumbani hadi sidiria ya mke wako hujabeba. Sasa kwa nini shemeji asigongwe na masela wa bavichaMimi nafanya shughuli zangu, njoo Segese uone tunavyopambana. Habari za uteuzi ni za kishamba na washamba kama wewe ndio wanazifikiria.
Hujaelewa nini hapo??andiko lolote LA uchaguzi kuhusu LISU lazima ligusie risasi 32.na Mungu atamlipia,tusubiri tuuJadili andiko langu kuu,achana na stori zingine.