Uchaguzi 2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

Hivi nyie machokko wa CCM mbona mnawashwa Sana na ya chadema, uchaguzi si mmeshinda nyie endeleeni na Bunge lenu Hilo la misukule
 
Kura ziliibiwa wapi? Mnatengeza clip za uongo kuaminisha watu upuuzi! Kama waliiba si mfungue kesi na sio kwenda nje kuwa wakimbizi.
Kura ziliibiwa wapi? Mnatengeza clip za uongo kuaminisha watu upuuzi! Kama waliiba si mfungue kesi na sio kwenda nje kuwa wakimbizi.
Katiba ya kilofa. matokeo hayapingwi mahakamani na rais hashitakiwi
 
Maneno mengi upuuzi mtupu, hakuna Cha sera Wala uchaguzi hii ni takataka .shida ni tume tu na ndio maana hamtaki kusikia time huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…