kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Inachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama.
Ina maana ni mchana kweupe,
Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati ni kiongozi wa kitaifa wa chama, hayo majukumu alikuwa anatekeleza chumbani kwake kwa maana ya peke yake au alikuwa na wenziwe mpaka watekaji wakamfikia.
Ushauri Chadema mikakati ya kujiteka mtajiumiza wenyewe na kujisababishia majeraha kujiteka kwenu hakuwezi sababisha raisi akajiuzulu kwa mambo ya kipuuzi. hebu ombeni ulinzi mkiwa kwenye majukumu au safari maana mnaleta utani kwenye mambo ya maana.
Tulijua fika mnaanza kutengeneza movie kwa kuchoma vitenge ili mje mseme mmetekwa kisa mlichoma vitenge ujinga na upuuzi wa kitoto.
La kujitakia halihitaji pole uwache mumeo ukatafute majeraha.