kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Kama una kitu unataka kuelezea hebu funguka!Hata wakiwa nao wanachanganywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una kitu unataka kuelezea hebu funguka!Hata wakiwa nao wanachanganywa
Subiri zamu yenu ikifika utanielewa kipara kizee...Bado haujasema!
Hakuna atakae baki milele!Subiri zamu yenu ikifika utanielewa kipara kizee...
qBasi jua kipara sii akili kama umewahi kudanganywa,vingine vinaweza kuwa chemchemu ya upumbavu.
Nimeuliza Swali mahali, Je ametekwa katika mazingira gani?Subiri na wewe uje utekwe wakakukwangue hicho kipara ndio uje uulize tena .
Yaani mtu anatekwa anaumizwa na kutupwa wewe unasema ni drama?
Hatari sana muhanga anasema picha ilianzia kituo cha basi!Pengine walinzi nao walitimu vumbi.
X wanasema kuna mahali Mheshimiwa aligawa kanga huko mkoa walikochoma daftari za kujiandikisha, hawa wengine wakaamua kuzifanya zile kanga kuni,
Nikasema hata iwe ni kweli ila hivi visasi vimekuwa too much.
muda muafaka utafika itabainika tu acha waendelee kusingizia mambo yao ya kishirikiana, ramli kutoana kafara na kuchukuana misukule wanadhani hiyo mbinu yao ya kutafuta uongozi ndani ya chama haijulikani 🐒Hiyo engo hawataki kufika wala kuifikiria!
Anayetafuta huruma mtekaji na wenzie.q
Nimeuliza Swali mahali, Je ametekwa katika mazingira gani?
Na kipara kipya ameongeza swali je Viongozi hawana Ulinzi?
Ndo hoja inayojadiliwa hapa.
Kutafuta huruma hakusaidii.
ccm chama cha watekajiInachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama.
Ina maana ni mchana kweupe,
Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati ni kiongozi wa kitaifa wa chama, hayo majukumu alikuwa anatekeleza chumbani kwake kwa maana ya peke yake au alikuwa na wenziwe mpaka watekaji wakamfikia.
Ushauri Chadema mikakati ya kujiteka mtajiumiza wenyewe na kujisababishia majeraha kujiteka kwenu hakuwezi sababisha raisi akajiuzulu kwa mambo ya kipuuzi. hebu ombeni ulinzi mkiwa kwenye majukumu au safari maana mnaleta utani kwenye mambo ya maana.
Tulijua fika mnaanza kutengeneza movie kwa kuchoma vitenge ili mje mseme mmetekwa kisa mlichoma vitenge ujinga na upuuzi wa kitoto.
La kujitakia halihitaji pole uwache mumeo ukatafute majeraha.
Sasa katekwa na ccm au polisi!ccm chama cha watekaji
polisi ni viranja wa ccmSasa katekwa na ccm au polisi!
Ngoja na mimi nikueleze swali jepesi kuhusu mazingira ya utekaji.q
Nimeuliza Swali mahali, Je ametekwa katika mazingira gani?
Viongozi wangapi wamewahi kuwa na walinzi na wakauliwa?
ameongeza swali je Viongozi hawana Ulinzi?
Ndo hoja inayojadiliwa hapa.
Kutafuta huruma hakusaidii.
Kumbe mnalijua na hamjajifunza kwa Magufuli.?Hakuna atakae baki milele!
Hata mm ningekua rais zarau ndogo ndogo kama hizi siezi VumiliaHuwa nawashangaa wanapochoma mabango ya Samia, kwani mpaka wajirikodi haya MACHADEMA⁉️
Inachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama.
Ina maana ni mchana kweupe,
Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati ni kiongozi wa kitaifa wa chama, hayo majukumu alikuwa anatekeleza chumbani kwake kwa maana ya peke yake au alikuwa na wenziwe mpaka watekaji wakamfikia.
Ushauri Chadema mikakati ya kujiteka mtajiumiza wenyewe na kujisababishia majeraha kujiteka kwenu hakuwezi sababisha raisi akajiuzulu kwa mambo ya kipuuzi. hebu ombeni ulinzi mkiwa kwenye majukumu au safari maana mnaleta utani kwenye mambo ya maana.
Tulijua fika mnaanza kutengeneza movie kwa kuchoma vitenge ili mje mseme mmetekwa kisa mlichoma vitenge ujinga na upuuzi wa kitoto.
La kujitakia halihitaji pole uwache mumeo ukatafute majeraha.
Mkuu kwa hii Post yako Sijaona Ukijibu kama Huyu Dada Wa Chadema alikuwa na Walinzi na pia alitekwa mazingira gani.Ngoja na mimi nikueleze swali jepesi kuhusu mazingira ya utekaji.
Mzee Kibao alitekwa ndani ya basi la abiria mchana kweupe.
Akashushwa ndani ya gari na kufungwa pingu [abiria wanashuhudia]
Kundi hilo lilifunga njia mbele na kuzuia basi kwa kutumia gari mbili za Toyota Landcruiser na hapo ni Kibo complex.
Namba za gari hazikuwa na usajili unaofahamika rasmi.
Mzee Kibao alipatikana ameuwawa na kutupwa Ununio.
Sativa alitekwa Dar , akapelekwa kituo cha polisi Osterbay , baadae Arusha na kutupwa mbuga ya Katavi.
Kwa maelezo yake hayo gari iliyomsafirisha ilikuwa na namba pia za usajili zisizo rasmi imesafiri zaidi ya kilometa 1000+ ikipita vizuizi vya polisi barabarani na likikimbia 120 km/h bado na hawasimamishwi?
Sasa kama mazingira ya kutekwa ,kuteswa, kusalimika au kuuliwa yanashahabiana na hivyo nilivyozungumza leo tukio la Sativa linaenda mwezi wa 4 sasa hajakamatwa mtu hata mmoja tukio la mzee Kibao linaenda kufikisha mwezi wa 2 hakuna aliyekamatwa hata 1 unataka kusema hao nao walistage kutekwa?
Viongozi wangapi wamewahi kuwa na walinzi na wakauliwa?
Laurent Deśire Kabila alipigwa risasi 2001 akiwa ofisini huyu alikuwa rais na amiri jeshi mkuu wa nchi .
Je hakuwa na walinzi?
Tusitafute justification unaweza kuwa na ulinzi ukashambuliwa hapa hoja kuu ni kwanini matukio ya polisi kuteka watu yanashamiri?
Kama hujaona basi sina majibu zaidi.Mkuu kwa hii Post yako Sijaona Ukijibu kama Huyu Dada Wa Chadema alikuwa na Walinzi na pia alitekwa mazingira gani.
Kabila alipigwa risasi na mmoja wa walinzi wake vipi kuhusu huyu aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia hebu jiongeze kidogo!Ngoja na mimi nikueleze swali jepesi kuhusu mazingira ya utekaji.
Mzee Kibao alitekwa ndani ya basi la abiria mchana kweupe.
Akashushwa ndani ya gari na kufungwa pingu [abiria wanashuhudia]
Kundi hilo lilifunga njia mbele na kuzuia basi kwa kutumia gari mbili za Toyota Landcruiser na hapo ni Kibo complex.
Namba za gari hazikuwa na usajili unaofahamika rasmi.
Mzee Kibao alipatikana ameuwawa na kutupwa Ununio.
Sativa alitekwa Dar , akapelekwa kituo cha polisi Osterbay , baadae Arusha na kutupwa mbuga ya Katavi.
Kwa maelezo yake hayo gari iliyomsafirisha ilikuwa na namba pia za usajili zisizo rasmi imesafiri zaidi ya kilometa 1000+ ikipita vizuizi vya polisi barabarani na likikimbia 120 km/h bado na hawasimamishwi?
Sasa kama mazingira ya kutekwa ,kuteswa, kusalimika au kuuliwa yanashahabiana na hivyo nilivyozungumza leo tukio la Sativa linaenda mwezi wa 4 sasa hajakamatwa mtu hata mmoja tukio la mzee Kibao linaenda kufikisha mwezi wa 2 hakuna aliyekamatwa hata 1 unataka kusema hao nao walistage kutekwa?
Viongozi wangapi wamewahi kuwa na walinzi na wakauliwa?
Laurent Deśire Kabila alipigwa risasi 2001 akiwa ofisini huyu alikuwa rais na amiri jeshi mkuu wa nchi .
Je hakuwa na walinzi?
Tusitafute justification unaweza kuwa na ulinzi ukashambuliwa hapa hoja kuu ni kwanini matukio ya polisi kuteka watu yanashamiri?
Magufuli amekufa kwa rehema za Mungu hakuna atakaye baki!Kumbe mnalijua na hamjajifunza kwa Magufuli.?
Basi somo lingine mtalipata linakuja.