Viongozi wa CHADEMA huwa hawana ulinzi?

Ni ajabu huyo Kiongozi anatembea je mwenyewe kwenye majukumu ya Chama, mbona ni kama VIJIDRAMA hivi, kwanini hawajilindi wakati wanaona utekaji na mauaji hayashughulikiwi na mamlaka husika, waendelee kutekwa na kuuawa hadi watie akili kwa kujilinda wenyewe dhidi ya uhalifu huo.
 
Chadema kwenye issues za kiusalama, wanahitaji sana msaada, niliwahi kuuliza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
p
 
Serikali inabidi wachukue hatua za haraka kuwapa ulinzi maana maadui zao ndani ya chama wanatumia mwanya huo kutekeleza yale yao!
 
Kwani ndugu kiparangoto uliwahi kuwapa ulinzi?
 
Kwani ndugu kiparangoto uliwahi kuwapa ulinzi?
Ndio nilikuwa mlinzi wa mgombea ubunge wa Cuf 1995 nilikuwa mlinzi wa mgombea ubunge wa chadema 2010 ilikuwa unahakikisha usalama kila aendapo ni hoja tu hakuna mchongo wa kujiteka!
 
Reactions: Tui
Wakati huamua, wakati ni msema kweli, wakati huleta matokeo ya kweli. Wakati uliamua, unaamua na utaamua. Mara zote wanaovunja nyumba, huvunja walio nje kiurahisi zaidi kuliko walio ndani.
 
Swali muhimu sana.
CHADEMA wanachukulia masuala nyeti kwa uzembe na ubabaivu mkubwa sana!
Ilitakiwa muda huu kila kiongozi wao apewe ulinzi binafsi.
Tumefikia hatua the world need some proof of these serious allegations.
 
Subiri na wewe uje utekwe wakakukwangue hicho kipara ndio uje uulize tena .

Yaani mtu anatekwa anaumizwa na kutupwa wewe unasema ni drama?
 
Huyu Kipara Kizee anashangaza sana hivi mtu anaweza kujiteka kisha ajiumize kama hivyo ??

Yaani neno kujiteka katika hali ya kawaida linawezekanaje?

Hawa kina Kipara Kizee ndio think tank huko CCM.
 
Bahati nzuri mungu huwa anawapiga mwenyewe maana hapa duniani huwa hampigiki sababu mnalindwa

Yawezekana kuna vifo vingine hutokana na machozi ya wenzetu yasiyo na hatia ila huwa tunashindwa kuunganisha nukta kama ndiyo majibu au laah! Ingawa huwa mateso yanadumu kabla ya kifo ili uyashuhudie.
 
Matatizo yako yanajulikana kwenye ukoo wenu.
 
hilo tukio lina dalili ya fumanizi 🐒
 
Hata wakiwa nao wanachanganywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…