instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja.
Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili kukomesha hii tabia
Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili kukomesha hii tabia