Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

ukimaliza kuandika hivyo tunatakiwa kuamini kuwa zimebuma???

Nilikuwa natafuta point ya kuonesha zimebuma sijaiona....

umeandika fonts ndogo sana nitumie microscope?[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ndege zinajiendesha kwa hasara kama ilivyo business yoyote inayoanza ... so sio hoja.

Tesla motors wanapata hasara pia ila wanajua wanapienda...

Kilimo ni siasa ila sio fact na sio ajira but ni shughuli ... wananchi wa get busy ...

Kilimo kwanza, nguvu kazi nk vyote havijamkomboa mtz. .

Ndege zitaingiza profit baada ya ku Break Even.. plus zinakuza utalii kwakuwa wengi walikuwa wanapitia kenya.

Usisahau kufufua shirika la ndege ni sera yetu ya chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio ndege Mkuu
Niionavyo mimi hiyo ni ndege ndogo huenda ikawa Cesna lakini mleta mada hana hoja.
Kama ingelikuwa ni Coaster hiyo configaration ya viti ingekuwa viwili kila upande na kimoja cha kukunja katikati.
 
Hivi ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kupanda first class buses achilia mbali ndege?
Ukute hata mleta mada hajawahi kupanda ndege, trust me!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Themagufulianz, Kulikuwa hakuna ndege au mmeua mashirika yaliyokuwepo ili mfaidi!, fastjet umeshaisahau sio, na precision, kwako huduma ya maji safi na salama kwa ajili ya wananchi wa vijijini haina maana sio?!, unaangalia investment ambayo hata hamjui profit mtaanza kuipata lini, nyie pimbi kweli!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"denge" haraka za nini kaka upareni hii DENGE ni pombe ya miwa au Mzee ndio mambo yako. Nasikia inatoa kitambi flani ameizingi [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuwekea bando mkuu. mwambie anipigie nimshauri Jambo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ana uwendawazimu fulani. Waliosema vile hawakumaanisha kuwa hawataki usafiri wa ndege. Siyo lazima usafiri wa ndege utolewe na serikali.

Nafikiri ikitokea siku serikali ikaamua kuanza kujenga restaurants kila kijiji, watu wakasema siyo kipaumbele, halafu serikali ikajenga na kisha kuzifunga restaurants zote za watu binafsi, siku waliosema ujenzi wa restaurants kwa serikali siyo kipaumbele, wakaonekana wanakula kwenye hizo restaurants, kuna wapumbavu watawapiga picha na kusema kuwa kwa nini wanakula chakula kwenye restaurants ambazo walisema siyo kipaumbele cha serikali?

Tuna watu wendawazimu wengi. Mtu kusema kitu fulani siyo kipaumbele cha serikali haimaanishi kuwa kitu hicho siyo muhimu kwa maisha yake.

Serikali hata isiponunua ndege, watu bado watapande ndege. Jambo baya lililofanyika ni kuiua Fastjet iliyokuwa inatoza nauli ndogo ili kuwalazimisha watu wote watumie ATCL.

Kuna huduma ambazo serikali isipozitoa, hakuna atakayezitoa japo huduma hizo ni muhimu sana kwa binadamu.
Ukishikwa tko utulie Kamanda hiyopicha inaongea yenyewe ,jitulize ujibu


State agent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…