Geuzeni shingo angalieni pia yaliyofanikiwa kama Angola Airline
CCM ni chama kisichowajali wananchi, tokea lini maji ya madimbwi yakawa salama.Ishu ni maji hayo na madimbwi kama masafi na salama poa tu
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri akina Mbowe wanajua wanachama wao na wafuasi ni watu wasio na uwezo wa kufanya tafakuri. Hawakuitwa nyumbu kimakosa!
Ndege hata Serikali isiponunua, zitanunuliwa na mashirika binafsi, ila maji serikali isipoleta, mashirika binafsi hayaruhusiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waswahili walishasema sikio la kufa halisikii dawaAngalia Angola 2019......
Usiikwepe boss... najua huna makengeza
Hiyo ni 2018
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada ana uwendawazimu fulani. Waliosema vile hawakumaanisha kuwa hawataki usafiri wa ndege. Siyo lazima usafiri wa ndege utolewe na serikali.
Nafikiri ikitokea siku serikali ikaamua kuanza kujenga restaurants kila kijiji, watu wakasema siyo kipaumbele, halafu serikali ikajenga na kisha kuzifunga restaurants zote za watu binafsi, siku waliosema ujenzi wa restaurants kwa serikali siyo kipaumbele, wakaonekana wanakula kwenye hizo restaurants, kuna wapumbavu watawapiga picha na kusema kuwa kwa nini wanakula chakula kwenye restaurants ambazo walisema siyo kipaumbele cha serikali?
Tuna watu wendawazimu wengi. Mtu kusema kitu fulani siyo kipaumbele cha serikali haimaanishi kuwa kitu hicho siyo muhimu kwa maisha yake.
Serikali hata isiponunua ndege, watu bado watapande ndege. Jambo baya lililofanyika ni kuiua Fastjet iliyokuwa inatoza nauli ndogo ili kuwalazimisha watu wote watumie ATCL.
Kuna huduma ambazo serikali isipozitoa, hakuna atakayezitoa japo huduma hizo ni muhimu sana kwa binadamu.
Tazama hii picha halafu hebu fikiria yule Mkuu wa Mkoa aliyejaribu kuingiza samani kinyemela akidai ni madawati
Cha ajabu akaachwa tu aendelee kutumikia ofisi ya umma
View attachment 1289448
CCM hana lengo la kumkomboa mwananchi wanajali matumbo yao tu.
Waswahili walishasema sikio la kufa halisikii dawa
Angola Air uliyoisema nayo inaingiza hasara tu
Hizo ni picha za hapahapa kama unabisha naweka mpaka maeneo zilipopigwa.Tangu upotee Jana ulikuwa uanahangaika na Google kutafuta picha za watu wenye uhaba wa maji kwingineko duniani ili useme ni tz
Siasa za chadomo raha sana
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Fast jet ilikuwa inatoa huduma nzuri na ya uhakika (timely) kwa gharama nafuu. Kaulize bei ya ndege kwa ATCL, hata makamouni yasiyo na luzuku yana nauli pungufu kidogo na uhakika wa safari kwa wakati uliopangwa.
Sijui Serikali inakwama wapi licha ya kuwa ktk industry muda mrefu. Kwa nini hawajifunzi kutoka yaliyopita? Utadhani ndiyo wanaanza biashara? Hata anaye anza lazima afanye research, aandae business plan ...Taifa hili????!!!
Sent using Jamii Forums mobile app