Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Geuzeni shingo angalieni pia yaliyofanikiwa kama Angola Airline
macauhub.9.10.2019-1.jpg

The accounts of 55 companies in Angola’s public business sector shows an aggregate loss of 66 billion kwanzas (US$173 million) in 2018, according to reports and accounts released on the Institute of State Assets and Holdings (IGAPE) website.
 
Tazama hii picha halafu hebu fikiria yule Mkuu wa Mkoa aliyejaribu kuingiza samani kinyemela akidai ni madawati
Cha ajabu akaachwa tu aendelee kutumikia ofisi ya umma
shule-kata2-1.jpg

CCM haina lengo la kumkomboa mwananchi wanajali matumbo yao tu.
 
Fast jet ilikuwa inatoa huduma nzuri na ya uhakika (timely) kwa gharama nafuu. Kaulize bei ya ndege kwa ATCL, hata makamouni yasiyo na luzuku yana nauli pungufu kidogo na uhakika wa safari kwa wakati uliopangwa.
Sijui Serikali inakwama wapi licha ya kuwa ktk industry muda mrefu. Kwa nini hawajifunzi kutoka yaliyopita? Utadhani ndiyo wanaanza biashara? Hata anaye anza lazima afanye research, aandae business plan ...Taifa hili????!!!
Mleta mada ana uwendawazimu fulani. Waliosema vile hawakumaanisha kuwa hawataki usafiri wa ndege. Siyo lazima usafiri wa ndege utolewe na serikali.

Nafikiri ikitokea siku serikali ikaamua kuanza kujenga restaurants kila kijiji, watu wakasema siyo kipaumbele, halafu serikali ikajenga na kisha kuzifunga restaurants zote za watu binafsi, siku waliosema ujenzi wa restaurants kwa serikali siyo kipaumbele, wakaonekana wanakula kwenye hizo restaurants, kuna wapumbavu watawapiga picha na kusema kuwa kwa nini wanakula chakula kwenye restaurants ambazo walisema siyo kipaumbele cha serikali?

Tuna watu wendawazimu wengi. Mtu kusema kitu fulani siyo kipaumbele cha serikali haimaanishi kuwa kitu hicho siyo muhimu kwa maisha yake.

Serikali hata isiponunua ndege, watu bado watapande ndege. Jambo baya lililofanyika ni kuiua Fastjet iliyokuwa inatoza nauli ndogo ili kuwalazimisha watu wote watumie ATCL.

Kuna huduma ambazo serikali isipozitoa, hakuna atakayezitoa japo huduma hizo ni muhimu sana kwa binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha kipindi cha awamu ya Tano

Yuwekee picha za hayo maaamaki maana tuliekwenda mnadani makontena yalifunguliwa tukaona samani

Samaki zingekaa miezi mitano bila barafu pale bandarini

State agent
Tazama hii picha halafu hebu fikiria yule Mkuu wa Mkoa aliyejaribu kuingiza samani kinyemela akidai ni madawati
Cha ajabu akaachwa tu aendelee kutumikia ofisi ya umma
View attachment 1289448

CCM hana lengo la kumkomboa mwananchi wanajali matumbo yao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar KIA laki Tano Leo elfu tisini hivi wewe unaakili timamu kweli?

Back
Top Bottom