Viongozi wa chadema na wafuasi akili zao hazipo timamu

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje yanasema mahakama hazitendi haki nilichogundua ccm Wana akili mara mia za chadema wamemshikilia lissu mpaka uchaguzi upite ndio maana mtu mwenye akili timamu hawezi kuhangaika kwenda mahakamani ambapo Kila siku kesi ya lissu inahairishwa halafu yanakuja kulialia mitandaoni shenzi sana haya majitu ni hayana uzalendo Kwa mwenyekiti wao tundu lissu
 
CCM waana akili sana, kila baada ya miaka mi 5 wanapewa chumvi, baiskeli, khanga, t-shirt, wali maharage, kubebwa kwenye malori na buku mbilimbili ili wauze kura zao.

Hakika CCM wana watu.
 
Sasa wakisema muandamane pamoja nao hamuendi,hata wewe ulieandika haya upo kwako huko kisemvule au mpwimbe umejificha unaandika haya.toa ushauri wafanye nin
 
CCM waana akili sana, kila baada ya miaka mi 5 wanapewa chumvi, baiskeli, khanga, t-shirt, wali mahatage, kubebwa kwenye malori na buku mbilimbili ili wauze kura zao.

Hakika CCM wana watu.
Ccm akili zao ni miaka mia mbele Ili kuendelea kula matunda ya hii nchi chadema wako kupiga kelele tu mwenyekiti wao anasota rumande
 
Sasa wakisema muandamane pamoja nao hamuendi,hata wewe ulieandika haya upo kwako huko kisemvule au mpwimbe umejificha unaandika haya.toa ushauri wafanye nin
Hiyo ni kazi ya chadema kumtoa lissu kwenye mikono ya serikali ovu sio wananchi sababu lissu sio kiongozi wa wananchi ni wa chama
 
Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje yanasema mahakama hazitendi haki nilichogundua ccm Wana akili mara mia za chadema wamemshikilia lissu mpaka uchaguzi upite ndio maana mtu mwenye akili timamu hawezi kuhangaika kwenda mahakamani ambapo Kila siku kesi ya lissu inahairishwa halafu yanakuja kulialia mitandaoni shenzi sana haya majitu ni hayana uzalendo Kwa mwenyekiti wao tundu lissu
Duh!
 
Back
Top Bottom