MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka.
CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi.
Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini jiulize nikwanini wao wapo NCHINI kupambana kisiasa? Jiulize na ujijibu.
UZALENDO halisi utaiona hapa, wao hawana njaa na wana uwezo wa kukaa pembeni na kuendelea na maisha yao na kutuacha WATANZANIA hoihahe tufanywe kadri wakubwa wanavyotaka kufufanya.
Wanasema eti akina Lissu na Lema wanahamasisha vurugu wakati familia zao zipo nje ya nchi haya nikulize wewe ambaye familia yako ni masikini na ipo hapa nchini inaendelea kuteseka na njaa umefanya nini kuhakikisha unakuwa na haki ya kuchagua kiongozi unayemtaka na mwisho wa siku kuleta maendeleo katika Taifa lako na familia yako inufaike?
Wewe umeshindwa kuipeleka familia yako abroad na in fact ungekuwa na uwezo basi hata hapa nchini usingekuepo ungekuwa ushahamia nje ya nchi na kuishi huko maisha yako yote.
CHADEMA ni wazalendo na naomba tuwasapot kwasabab lengo lao ni haki ipatikane na siyo kuvuruga amani. Kama ni shida ndogo ndogo wao hawana na Kwa base waliyonayo wanauwezo wakukengeuka na kuhamia sisiemu na wakapewa madaraka makubwa na kuishi kifalme ila kwasabab ya uzalendo wao bado wanaminyana kuhakikisha Taifa linapata uhuru na siyo uhuru wa bendera tulionao.