Viongozi wa CHADEMA ni kielelezo kizuri cha uzalendo

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
993
Reaction score
2,045
Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka.

CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi.

Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini jiulize nikwanini wao wapo NCHINI kupambana kisiasa? Jiulize na ujijibu.

UZALENDO halisi utaiona hapa, wao hawana njaa na wana uwezo wa kukaa pembeni na kuendelea na maisha yao na kutuacha WATANZANIA hoihahe tufanywe kadri wakubwa wanavyotaka kufufanya.

Wanasema eti akina Lissu na Lema wanahamasisha vurugu wakati familia zao zipo nje ya nchi haya nikulize wewe ambaye familia yako ni masikini na ipo hapa nchini inaendelea kuteseka na njaa umefanya nini kuhakikisha unakuwa na haki ya kuchagua kiongozi unayemtaka na mwisho wa siku kuleta maendeleo katika Taifa lako na familia yako inufaike?

Wewe umeshindwa kuipeleka familia yako abroad na in fact ungekuwa na uwezo basi hata hapa nchini usingekuepo ungekuwa ushahamia nje ya nchi na kuishi huko maisha yako yote.

CHADEMA ni wazalendo na naomba tuwasapot kwasabab lengo lao ni haki ipatikane na siyo kuvuruga amani. Kama ni shida ndogo ndogo wao hawana na Kwa base waliyonayo wanauwezo wakukengeuka na kuhamia sisiemu na wakapewa madaraka makubwa na kuishi kifalme ila kwasabab ya uzalendo wao bado wanaminyana kuhakikisha Taifa linapata uhuru na siyo uhuru wa bendera tulionao.
 
Mzalendo ni Bakhersa,Mo,Gsm na wawekezaji waliao amua kuwekeza kwenye nchi Yao na kutoa ajira sio hao wapiga kelele
 
UZALENDO halisi utaiona hapa, wao hawana njaa na wana uwezo wa kukaa pembeni na kuendelea na maisha yao na kutuacha WATANZANIA hoihahe tufanywe kadri wakubwa wanavyotaka kufufanya
Lema angehamia ccm angekuwa Mkuu wa Mkoa.

Lissu angekuwa Waziri hata Waziri Mkuu akiwa ccm, au hata Jaji.

Watu ni wazalendo kweli kweli
 
Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka.

CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi.

Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini jiulize nikwanini wao wapo NCHINI kupambana kisiasa? Jiulize na ujijibu.

UZALENDO halisi utaiona hapa, wao hawana njaa na wana uwezo wa kukaa pembeni na kuendelea na maisha yao na kutuacha WATANZANIA hoihahe tufanywe kadri wakubwa wanavyotaka kufufanya.

Wanasema eti akina Lissu na Lema wanahamasisha vurugu wakati familia zao zipo nje ya nchi haya nikulize wewe ambaye familia yako ni masikini na ipo hapa nchini inaendelea kuteseka na njaa umefanya nini kuhakikisha unakuwa na haki ya kuchagua kiongozi unayemtaka na mwisho wa siku kuleta maendeleo katika Taifa lako na familia yako inufaike?

Wewe umeshindwa kuipeleka familia yako abroad na in fact ungekuwa na uwezo basi hata hapa nchini usingekuepo ungekuwa ushahamia nje ya nchi na kuishi huko maisha yako yote.

CHADEMA ni wazalendo na naomba tuwasapot kwasabab lengo lao ni haki ipatikane na siyo kuvuruga amani. Kama ni shida ndogo ndogo wao hawana na Kwa base waliyonayo wanauwezo wakukengeuka na kuhamia sisiemu na wakapewa madaraka makubwa na kuishi kifalme ila kwasabab ya uzalendo wao bado wanaminyana kuhakikisha Taifa linapata uhuru na siyo uhuru wa bendera tulionao.
Sure,
ni wanaharakati aropokaji haswa gentleman,

wanaomba hela hao balaa,

halafu karibu wote ni matapeli wa kisiasa 🐒
 
Hakika mfumo wa vyama vingi ni mzuri kwasababu Mimi na ww hatuna nguvu ya kuzungumza mbele ya UMMA na watu wakasikia hivyo wao ni muhimu sana
 
Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka.

CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi.

Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini jiulize nikwanini wao wapo NCHINI kupambana kisiasa? Jiulize na ujijibu.

UZALENDO halisi utaiona hapa, wao hawana njaa na wana uwezo wa kukaa pembeni na kuendelea na maisha yao na kutuacha WATANZANIA hoihahe tufanywe kadri wakubwa wanavyotaka kufufanya.

Wanasema eti akina Lissu na Lema wanahamasisha vurugu wakati familia zao zipo nje ya nchi haya nikulize wewe ambaye familia yako ni masikini na ipo hapa nchini inaendelea kuteseka na njaa umefanya nini kuhakikisha unakuwa na haki ya kuchagua kiongozi unayemtaka na mwisho wa siku kuleta maendeleo katika Taifa lako na familia yako inufaike?

Wewe umeshindwa kuipeleka familia yako abroad na in fact ungekuwa na uwezo basi hata hapa nchini usingekuepo ungekuwa ushahamia nje ya nchi na kuishi huko maisha yako yote.

CHADEMA ni wazalendo na naomba tuwasapot kwasabab lengo lao ni haki ipatikane na siyo kuvuruga amani. Kama ni shida ndogo ndogo wao hawana na Kwa base waliyonayo wanauwezo wakukengeuka na kuhamia sisiemu na wakapewa madaraka makubwa na kuishi kifalme ila kwasabab ya uzalendo wao bado wanaminyana kuhakikisha Taifa linapata uhuru na siyo uhuru wa bendera tulionao.
Walio nje ya jf utakapowapelekea Uzi kama huu ndipo watakapoamini kuwa hata Huku Kuna wajinga pamoja na kusikia kunanadiwa kuwa Kuna great thinkers
 
Mzalendo ni Bakhersa,Mo,Gsm na wawekezaji waliao amua kuwekeza kwenye nchi Yao na kutoa ajira sio hao wapiga kelele
Kwa hiyo na wewe ulieandika huu ujumbe nawe sio Mzalendo maana nawe hakuna ulichokiwekeza katika hii nchi.

Vinginevyo, kama mmoja wa hao uliowataja wawekezaji ni Bwana wako apo sawa maana nawe utakuwa ni sehemu ya uwekezaji.
 
Relax
 
Back
Top Bottom