Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

Yaani Afrika tuna changamoto sana ..majimbo ya watawala na watetezi yote hoi...na wao wanakimbia shida za wananchi..imekuwa kama mpira tu..
 
Chama chako cha majizi ya kura na mauza bandari kwa warabu yamewahi kukwambia mapato yao ikiwemo ruzuku au kwa kuwa akilizenu mmeshikiwa na bashite mwenye burro fake ndio maana hamjui chochote kama mandondocha.
Jengeni basi hata ofisi Makao Makuu watu gani nyie hamna hata nyumbani kwenu kila siku kupanga? Shame
 
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.

Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.

Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.
Wewe unatakia nini maswala ya CDM nenda kwenye chama chako ambako siyo walaghai.
 
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.

Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.

Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.
Kwani pesa za JOIN THE CHAIN walishasema wamekusanya kiasi gani?
 
Back
Top Bottom