Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jengeni basi hata ofisi Makao Makuu watu gani nyie hamna hata nyumbani kwenu kila siku kupanga? ShameChama chako cha majizi ya kura na mauza bandari kwa warabu yamewahi kukwambia mapato yao ikiwemo ruzuku au kwa kuwa akilizenu mmeshikiwa na bashite mwenye burro fake ndio maana hamjui chochote kama mandondocha.
Wewe unatakia nini maswala ya CDM nenda kwenye chama chako ambako siyo walaghai.Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.
Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.
Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.
Hizo 2 bil unataka zikusaidie nini wakati umeme unakatika kila siku,sukari mtaani bi juu?We zubaa tu mmeshaingiziwa 2 bil, wahi ofisini, wenzio wanapiga nyagi kwa kwenda mbele.
Kwani pesa za JOIN THE CHAIN walishasema wamekusanya kiasi gani?Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.
Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.
Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.