PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA rudisheni panga alani mjipange upya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

J C

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2013
Posts
3,191
Reaction score
2,721
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.

Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha watamdaka Heche na kumuweka ndani kinachobaki ni umbwe la uongozi kisha Mwenyekiti mstaafu atarudi na hawa waliojiuzuru watakaa fasta na kufanya uchaguzi kama wana CHADEMA na uongozi mpya kuingia mkija toka kifungoni ( uongozi wa sasa) hamatakuwa na chenu mtabakia kukimbilia nje ya nchi kitu ambacho mtaruhusiwa kufanya biashara inakuwa imekwisha nchi inaingia kizani tena.

Ushauri wangu sitisheni mikutano yote inatosha kwa sasa kwani imeonesha mnaungwa mkono na Watanzania wengi. Rudini mezani mjaze kwa haraka nafasi zilizoachwa wazi na waliojiuzuru muunde kamati kuu kwa mujibu wa katiba. Rudini mjipange kukabiliana na barua ya msajiri na ile kesi iliyofunguliwa. Naomba tafadhari msitishe mikutano maana itapelekea kukamatwa kwa viongozi zaidi.

Pia naomba muache kutuo lugha zisizo za staha kwa polisi nimefutilia mkutano wa Igoma ikizingatia sio polisi wote ni wabaya na mkizingatia hiyo ni ajira inayolisha familia zao na ni kazi ya kiapo cha utii ni sawa na mtu akuambie usifanye siasa.
 
Kwa hiyo msajili na yeye anatumika kuwaangamiza viongozi wa Chadema kama ilivyo kwa policcm na wale G55!
 
Hapana, hayo maelekezo ya jaji Mtungi hayatekelezeki kwa sasa. Chadema wasiyatekeleze wala kurudi nyuma kabisa, kama anaweza aifute Chadema tu.
 
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.

Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha watamdaka Heche na kumuweka ndani kinachobaki ni umbwe la uongozi kisha Mwenyekiti mstaafu atarudi na hawa waliojiuzuru watakaa fasta na kufanya uchaguzi kama wana CHADEMA na uongozi mpya kuingia mkija toka kifungoni ( uongozi wa sasa) hamatakuwa na chenu mtabakia kukimbilia nje ya nchi kitu ambacho mtaruhusiwa kufanya biashara inakuwa imekwisha nchi inaingia kizani tena.

Ushauri wangu sitisheni mikutano yote inatosha kwa sasa kwani imeonesha mnaungwa mkono na Watanzania wengi. Rudini mezani mjaze kwa haraka nafasi zilizoachwa wazi na waliojiuzuru muunde kamati kuu kwa mujibu wa katiba. Rudini mjipange kukabiliana na barua ya msajiri na ile kesi iliyofunguliwa. Naomba tafadhari msitishe mikutano maana itapelekea kukamatwa kwa viongozi zaidi.

Pia naomba muache kutuo lugha zisizo za staha kwa polisi nimefutilia mkutano wa Igoma ikizingatia sio polisi wote ni wabaya na mkizingatia hiyo ni ajira inayolisha familia zao na ni kazi ya kiapo cha utii ni sawa na mtu akuambie usifanye siasa.
No Reforms No Elections Huu msimamo hautobadilika kamwe; waambie waliokutuma
 
Viongozi wa CHADEMA wana "upanga" gani unaotaka waurudishe alani?
Huoni wanavyo umizwa bila ya sababu muhimu?

Sasa sijui umeeleza nini humo ndani ya hayo maneno meeengi, ambayo mimi nimeghaili kupoteza muda kuyasoma. Mimi najibu kichwa cha mada ulicho tumia hapa.

Ni kama unahamishia lawama kwa watu ambao wanaonewa; lakini huoni mwenye makosa!
 
Ccm haitaki ushindani heche shikilia hapohapo mpaka wakifute lengo lao litimie halafu utasikia Kama kuna mtu atawasumbua toka chadema
 
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.

Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha watamdaka Heche na kumuweka ndani kinachobaki ni umbwe la uongozi kisha Mwenyekiti mstaafu atarudi na hawa waliojiuzuru watakaa fasta na kufanya uchaguzi kama wana CHADEMA na uongozi mpya kuingia mkija toka kifungoni ( uongozi wa sasa) hamatakuwa na chenu mtabakia kukimbilia nje ya nchi kitu ambacho mtaruhusiwa kufanya biashara inakuwa imekwisha nchi inaingia kizani tena.

Ushauri wangu sitisheni mikutano yote inatosha kwa sasa kwani imeonesha mnaungwa mkono na Watanzania wengi. Rudini mezani mjaze kwa haraka nafasi zilizoachwa wazi na waliojiuzuru muunde kamati kuu kwa mujibu wa katiba. Rudini mjipange kukabiliana na barua ya msajiri na ile kesi iliyofunguliwa. Naomba tafadhari msitishe mikutano maana itapelekea kukamatwa kwa viongozi zaidi.

Pia naomba muache kutuo lugha zisizo za staha kwa polisi nimefutilia mkutano wa Igoma ikizingatia sio polisi wote ni wabaya na mkizingatia hiyo ni ajira inayolisha familia zao na ni kazi ya kiapo cha utii ni sawa na mtu akuambie usifanye siasa.
Wameshupaza shingo hakuna ushauri utakaochukuliwa hapo.
 
huwezi kuwa timamu halafu ukaamini Heche na Lema wanaweza kupambana na CCM.
Wewe mwenyewe hapa huonyeshi utimamu hata chembe!
Nani kakwambia Lema na Heche watapambana na CCM,... kwanza CCM ipi unaizungumzia wewe; CCM iliyonyakuliwa na Genge la Samia ambalo sasa ndilo linalovuruga nchi? Wewe unadhani waTanzania wote waliomo humo ndani ya CCM wanayafurahia haya yanayofanywa sasa kwa jina la CCM; kumbe ni matendo ya wahalifu, kundi dogo kabisa linalombeba Samia na kutaka abaki madarakani kwa nguvu, hata kama damu za waTanzania zitamwagwa?

Fahamu kuwa haya siyo mapambanokati ya Lema na Heche kwa upande mmoja, na CCM upande wa pili kama unavyo fikiri wewe.
Haya ni mapambano kati ya waTanzania dhidi ya genge ovu linalomfanyia kazi Samia. Hili genge ndilo waTanzania wanapashwa kuliadabisha kabla ya kupoteza maisha ya watu wetu.

Umenielewa?
 
Back
Top Bottom