PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA rudisheni panga alani mjipange upya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona hujasema CCM iache kutegemea polisi[upanga wao] waurudishe na wakubali reforms na kufanya siasa kwa usawa?

Yaani huoni ccm inamiliki jeshi la vibaka, mahakama, bunge , tume feki ya uchaguzi iliyojaa makada halafu useme ndio unakwenda kwenye uchaguzi?
 
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.

Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha watamdaka Heche na kumuweka ndani kinachobaki ni umbwe la uongozi kisha Mwenyekiti mstaafu atarudi na hawa waliojiuzuru watakaa fasta na kufanya uchaguzi kama wana CHADEMA na uongozi mpya kuingia mkija toka kifungoni ( uongozi wa sasa) hamatakuwa na chenu mtabakia kukimbilia nje ya nchi kitu ambacho mtaruhusiwa kufanya biashara inakuwa imekwisha nchi inaingia kizani tena.

Ushauri wangu sitisheni mikutano yote inatosha kwa sasa kwani imeonesha mnaungwa mkono na Watanzania wengi. Rudini mezani mjaze kwa haraka nafasi zilizoachwa wazi na waliojiuzuru muunde kamati kuu kwa mujibu wa katiba. Rudini mjipange kukabiliana na barua ya msajiri na ile kesi iliyofunguliwa. Naomba tafadhari msitishe mikutano maana itapelekea kukamatwa kwa viongozi zaidi.

Pia naomba muache kutuo lugha zisizo za staha kwa polisi nimefutilia mkutano wa Igoma ikizingatia sio polisi wote ni wabaya na mkizingatia hiyo ni ajira inayolisha familia zao na ni kazi ya kiapo cha utii ni sawa na mtu akuambie usifanye siasa.
Chadema haitarudi nyuma, huu ni mpango wa Mungu
 
Wewe mwenyewe hapa huonyeshi utimamu hata chembe!
Nani kakwambia Lema na Heche watapambana na CCM,... kwanza CCM ipi unaizungumzia wewe; CCM iliyonyakuliwa na Genge la Samia ambalo sasa ndilo linalovuruga nchi? Wewe unadhani waTanzania wote waliomo humo ndani ya CCM wanayafurahia haya yanayofanywa sasa kwa jina la CCM; kumbe ni matendo ya wahalifu, kundi dogo kabisa linalombeba Samia na kutaka abaki madarakani kwa nguvu, hata kama damu za waTanzania zitamwagwa?

Fahamu kuwa haya siyo mapambanokati ya Lema na Heche kwa upande mmoja, na CCM upande wa pili kama unavyo fikiri wewe.
Haya ni mapambano kati ya waTanzania dhidi ya genge ovu linalomfanyia kazi Samia. Hili genge ndilo waTanzania wanapashwa kuliadabisha kabla ya kupoteza maisha ya watu wetu.

Umenielewa?
CCM ni shwari, tunaendelea kujisajili kwenye daftari la mpiga kura.
Chadema imeparaganyika, viongozi wanaendelea kujiuzulu nafasi zao kila leo.

Chadema ni chama cha siasa. Tanzania ni nchi. Wacha kuivisha Chadema hadhi ya nchi. Chama cha vibaraka na mamluki hakipo kwaajili ya maslahi ya wananchi wa Tanzania.

Nakufahamu vizuri mno mzee, kandarasi ya kumchafua SSH sio rahisi kwasasa kama mlivyozoea huko nyuma.
 
Umetoa ushauri mzuri ila hapa utatukanwa mpaka ujue kuna watu hataki kutafakari na hawaoni kesho.Ni mara ngapi waliambiwa watibu majeraha ya uchaguzi,wakajifanya shingo ngumu.Hapa watajua wenzao nao wana akili.
 
CCM ni shwari, tunaendelea kujisajili kwenye daftari la mpiga kura.
Sijui kama unadanganya kwa maksudi, au akili tu ndiyo imelala. Lakini unaweza pia unaukana tu ukweli kwa vile hutaki kuukubali ukweli huo.
Sasa mimi siwezi kukulazimisha ufanye chochote.; ujidanganye au usijidanganye, hilo ni shauri lako, lakini halitabadilisha matokeo.
kandarasi ya kumchafua SSH sio rahisi kwasasa kama mlivyozoea huko nyuma
Hakuna anayemchafua Samia, zaidi ya kujichafua mwenyewe kwa kukosa sifa za uongozi, kiasi sasa cha kutegemea Genge la waovu limbakishe madarakani.
Mama wa watu na ujinga wake kaingizwa mkenge kirahisi hivi, kwa sababu tu ya tamaa ya madaraka?
Sasa asubiri mtakaposababisha umwagaji wa damu ya waTanzania, sijui kama ya kwenu itabaki salama.

Sijawahi kukusoma wewe popote humu JF, kwa hiyo kama ndiyo ajira mpya umepewa na genge, elewa kwamba uwezo wa kuzuia watu kujuwa yanayoendelea huna.
 
Unatakiwa uwashauri Ccm na Msajidi kwa dhuluma na ujyinga wanaofanya,Nakuapia wameweka mtego ktk huo ushauri ulioutoa.Hawana nia njema lengo lao wakishirikiana na Mbowe co. Nikutaka ku prove wrong uongozi wa sasa.Ila Mungu atasimama na akina Lissu..
 
Mpango wa Mungu sio chuki,visasi na matusi.Sasa hivi Chadema imevamiwa na wahuni mwendo wa kutukanq mpaka basi.
Umesikia chadema wameteka na kuua wangapi hivi karibuni?
 
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.

Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha watamdaka Heche na kumuweka ndani kinachobaki ni umbwe la uongozi kisha Mwenyekiti mstaafu atarudi na hawa waliojiuzuru watakaa fasta na kufanya uchaguzi kama wana CHADEMA na uongozi mpya kuingia mkija toka kifungoni ( uongozi wa sasa) hamatakuwa na chenu mtabakia kukimbilia nje ya nchi kitu ambacho mtaruhusiwa kufanya biashara inakuwa imekwisha nchi inaingia kizani tena.

Ushauri wangu sitisheni mikutano yote inatosha kwa sasa kwani imeonesha mnaungwa mkono na Watanzania wengi. Rudini mezani mjaze kwa haraka nafasi zilizoachwa wazi na waliojiuzuru muunde kamati kuu kwa mujibu wa katiba. Rudini mjipange kukabiliana na barua ya msajiri na ile kesi iliyofunguliwa. Naomba tafadhari msitishe mikutano maana itapelekea kukamatwa kwa viongozi zaidi.

Pia naomba muache kutuo lugha zisizo za staha kwa polisi nimefutilia mkutano wa Igoma ikizingatia sio polisi wote ni wabaya na mkizingatia hiyo ni ajira inayolisha familia zao na ni kazi ya kiapo cha utii ni sawa na mtu akuambie usifanye siasa.
Wananchi wanawaangalia tu wakifanya hayo?
 
Chadema ni chama cha siasa. Tanzania ni nchi. Wacha kuivisha Chadema hadhi ya nchi. Chama cha vibaraka na mamluki hakipo kwaajili ya maslahi ya wananchi wa Tanzania.
Utaniambia hilo genge linalomshikilia Samia ndiyo Tanzania hiyo, au huko kichwani kwako kuna tatizo!
 
Sijui kama unadanganya kwa maksudi, au akili tu ndiyo imelala. Lakini unaweza pia unaukana tu ukweli kwa vile hutaki kuukubali ukweli huo.
Sasa mimi siwezi kukulazimisha ufanye chochote.; ujidanganye au usijidanganye, hilo ni shauri lako, lakini halitabadilisha matokeo.

Hakuna anayemchafua Samia, zaidi ya kujichafua mwenyewe kwa kukosa sifa za uongozi, kiasi sasa cha kutegemea Genge la waovu limbakishe madarakani.
Mama wa watu na ujinga wake kaingizwa mkenge kirahisi hivi, kwa sababu tu ya tamaa ya madaraka?
Sasa asubiri mtakaposababisha umwagaji wa damu ya waTanzania, sijui kama ya kwenu itabaki salama.

Sijawahi kukusoma wewe popote humu JF, kwa hiyo kama ndiyo ajira mpya umepewa na genge, elewa kwamba uwezo wa kuzuia watu kujuwa yanayoendelea huna.
Kama hata zoezi la wazi la watu kujiandikisha unakataa kwamba halifanyiki. Sasa mzee, kati ya mimi na wewe nani anajidanganya?

Kandarasi yako ya kumchafua SSH inakufanya uonekane, mbabaishaji hapa jukwaani.
 
Mkuu 'Uhakiki', sikujui, na wala sihitaji kujifunza chochote kutoka kwako. Nimekwisha eleza ninacho kifahamu, wewe kaa na hicho unachokijuwa wewe. SAWA!
Hii pesa nyingi inayowanunua na kupoteza ufahamu namna hii, unajuwa inatoka wapi? Leo unadiriki kuja hapa JF ulkitarajia kuvuruga akili za watu na maoni yasiyokuwa na miguu wala mikono.

Nakwambia hivi: hizo hadaa na ulaghai mnaoutumia (sijui unatokea wapi, ni utamaduni wenu?); sasa hautafanya kazi tena.
 
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.

Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha watamdaka Heche na kumuweka ndani kinachobaki ni umbwe la uongozi kisha Mwenyekiti mstaafu atarudi na hawa waliojiuzuru watakaa fasta na kufanya uchaguzi kama wana CHADEMA na uongozi mpya kuingia mkija toka kifungoni ( uongozi wa sasa) hamatakuwa na chenu mtabakia kukimbilia nje ya nchi kitu ambacho mtaruhusiwa kufanya biashara inakuwa imekwisha nchi inaingia kizani tena.

Ushauri wangu sitisheni mikutano yote inatosha kwa sasa kwani imeonesha mnaungwa mkono na Watanzania wengi. Rudini mezani mjaze kwa haraka nafasi zilizoachwa wazi na waliojiuzuru muunde kamati kuu kwa mujibu wa katiba. Rudini mjipange kukabiliana na barua ya msajiri na ile kesi iliyofunguliwa. Naomba tafadhari msitishe mikutano maana itapelekea kukamatwa kwa viongozi zaidi.

Pia naomba muache kutuo lugha zisizo za staha kwa polisi nimefutilia mkutano wa Igoma ikizingatia sio polisi wote ni wabaya na mkizingatia hiyo ni ajira inayolisha familia zao na ni kazi ya kiapo cha utii ni sawa na mtu akuambie usifanye siasa.
Kumbe ulikuwa stand ya kishiri?sema kuna namna wananchi nao wanaanzakuwaelewa...waache waendelee hivo hivo....wakipoa tu imekula kwao...waliombiwa police na waalimu si ni kwel?
 
Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania.

Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha watamdaka Heche na kumuweka ndani kinachobaki ni umbwe la uongozi kisha Mwenyekiti mstaafu atarudi na hawa waliojiuzuru watakaa fasta na kufanya uchaguzi kama wana CHADEMA na uongozi mpya kuingia mkija toka kifungoni ( uongozi wa sasa) hamatakuwa na chenu mtabakia kukimbilia nje ya nchi kitu ambacho mtaruhusiwa kufanya biashara inakuwa imekwisha nchi inaingia kizani tena.

Ushauri wangu sitisheni mikutano yote inatosha kwa sasa kwani imeonesha mnaungwa mkono na Watanzania wengi. Rudini mezani mjaze kwa haraka nafasi zilizoachwa wazi na waliojiuzuru muunde kamati kuu kwa mujibu wa katiba. Rudini mjipange kukabiliana na barua ya msajiri na ile kesi iliyofunguliwa. Naomba tafadhari msitishe mikutano maana itapelekea kukamatwa kwa viongozi zaidi.

Pia naomba muache kutuo lugha zisizo za staha kwa polisi nimefutilia mkutano wa Igoma ikizingatia sio polisi wote ni wabaya na mkizingatia hiyo ni ajira inayolisha familia zao na ni kazi ya kiapo cha utii ni sawa na mtu akuambie usifanye siasa.
You have a point.. Japo wengine wanakubeza.
 
Sidhani kama Mbowe na wale waliotoka CDM watakubali kurudi kupitia mgongo wa Msajili. Itakuwa political suicide.

Ila ni kweli CDM wanatakiwa kujipanga upya. Wanatakiwa kuwa na mkakati wa kuendelea kupigania wanachopigania bila kukihatarisha chama chao.

Wa "call the bluff" ya msajili wakati wanaendelea na mikutano yao. Wanaweza kuteuliwa watu wa kukaimu nafasi za sekretait na kuwafanya waliopo kuwa washauri wakuu.

Waitishe Baraza haraka iwezekanavyo na wa hakikishe zaidi ya 80% wanahudhuria na kuwarudisha wale wale kwa kishindo. Walitakiwa kufanya hivyo mapema sana hasa wakijua kuwa Msajili hayuko upande wao.

Amandla...
 
Back
Top Bottom