PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA rudisheni panga alani mjipange upya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Subiria matusi toka team Lisu na Heche
 
Kitendo cha Aliyekuwa mwenyekiti kukubali na kumpongeza Mwenyekiti aliyechaguliwa katika mkutano huo bwana Tundu Lissu

Kinatosha kabisa kumwambia bwana msajili na tume yake kwamba, hakuna dhuluma yotote aliyotendewa mwanachadema yeyote

Anachokifanya bwana msajili na tume yake, ni yale yale ya siku zote, kuilinda ccm kwa njia zote kwa sababu wanakula wanapewa pesa ya ccm

No reform no election, itaibua mengi mno ambayo nchi hii haikuwahi kuyashuhudia

Sasa ni dhahiri na wazi wazi, ccm na police pamoja na tume

Chadema na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…