Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani, utawarejesha viongozi hao waliopoteza uelekeo kwenye medani ya siasa baada ya chadema kusambaratika?
Na je, ni sahihi ugumu wa maisha ndio ukukumbushe kwamba kuna ibada na Mungu yupo?🐒
Mungu Ibariki Tanzania