ugumu wa maisha na kutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu bila kufanya kazi, kunawafanya wawe na hali ngumu zaidi za kiuchmi na matokeo wanakua na hasira kupindukia na kila mtu alie na maoni tofauti na yao,Wamebakia wanaporomosha matusi tu utafikiri wagonjwa wa akili.
Na watu viongozi wengi sana wa CHADEMA walikuwa wanategemea kuwakamua pesa wafausi wao kwa ajili ya kushibisha matumbo yao .maana wao hawana shughuli za kuwapatia kipato.ugumu wa maisha na kutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu bila kufanya kazi, kunawafanya wawe na hali ngumu zaidi za kiuchmi na matokeo wanakua na hasira kupindukia na kila mtu alie na maoni tofauti na yao,
kifupi wapo confused kabisa
Naona kila ukianzisha uzi haupati replies nyingi, imebidi uanzishe wa cdm kuona kama kitaeleweka.viongozi wa chadema wanaopitia unyonge wa kiuchumi wa fedheha sana gentleman,
uzalendo umewashinda wameibukia kutafuta chochote kitu kwenye nyumba za ibada, dah 🐒
Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani, utawarejesha viongozi hao waliopoteza uelekeo kwenye medani ya siasa baada ya chadema kusambaratika?
Na je, ni sahihi ugumu wa maisha ndio ukukumbushe kwamba kuna ibada na Mungu yupo?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman 🐒
viongozi wa chadema wanateseka mno kiuchmi gentleman, wanafedheheka mno.muulize HUYO hakosi mafuta ya p Diddy. Kuna kazee kamesema hakana bando hivo nkuulize ETI una vimafuta VYA p Diddy vilivobaki
Unaongea na nani SASA kwendraaaa siongeagi na mashoga Mimi toleeekaaaaaaviongozi wa chadema wanateseka mno kiuchmi gentleman, wanafedheheka mno.
chadema wenyewe wamegoma kuwachangia chochote 🐒
Anaimba kwaya siku hiziAmani Golugwa alikuwa hajui hata nyimbo za kanisani, anapigapiga midomo tu
Unge kua karibu NINGE kukata kibao. Idiotrelax bas gentleman,
huna haja ya kuweweseka wakati viongozi wako wa chadema wanafedheheka kwa ugumu wa maisha 🐒
Chadema haikuwahi kuiba fedha za serikali kupitia account zisizo kaguliwa za Ikulu.viongozi wa chadema wanaopitia unyonge wa kiuchumi wa fedheha sana gentleman,
uzalendo umewashinda wameibukia kutafuta chochote kitu kwenye nyumba za ibada, dah 🐒
Mwambieni Bibi wa Kizimkazi awakumbuke hawa watotoHuenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani, utawarejesha viongozi hao waliopoteza uelekeo kwenye medani ya siasa baada ya chadema kusambaratika?
Na je, ni sahihi ugumu wa maisha ndio ukukumbushe kwamba kuna ibada na Mungu yupo?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mwambieni Bibi wa Kizimkazi awakumbuke hawa watoto
View attachment 3412406
jikite kwenye hoja bila kutapatapa wala kuweweseka gentleman 🐒Mwambieni Bibi wa Kizimkazi awakumbuke hawa watoto
View attachment 3412406