HIVI kijana kiswahili kigumu. MBONA huna adabu kwa wakubwa ZAKO,"unge" na "ninge" ni viungo vya ubishi wa kilofa sana gentleman š
Nani mzee, ETI mihemko umeona ULIVO huna adabu we kijana, SI tunawapigania NYIE muishi VIZURI . Umekalia uchawa ndo maana mnapakwa mafuta.relax bas the Muzee samahani,
tuliza mihemko š
hivi unavyoweweseka na kuropoka hivyo,Nani mzee, ETI mihemko umeona ULIVO huna adabu we kijana, SI tunawapigania NYIE muishi VIZURI . Umekalia uchawa ndo maana mnapakwa mafuta.
Kanisa la mitume la CHADEMA, Askofu mkuu Heche, Lema (Yuda) Boni Yai (Herode)Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani, utawarejesha viongozi hao waliopoteza uelekeo kwenye medani ya siasa baada ya chadema kusambaratika?
Na je, ni sahihi ugumu wa maisha ndio ukukumbushe kwamba kuna ibada na Mungu yupo?š
Mungu Ibariki Tanzania
Nani NDUGU Yako? Unapotosha umma halafu unadai mi NDUGU Yako. Mwendawazimu Nini. Bilioni kadhaa zimechukuliwa juzi Kuna tamko lolote limetoka kueleza ZILE PESA. Wajawazito bila EF 50 wanaambiwa wakajifungue KWAO . KWELI tuko sirias,SI Bora HIZO PESA zinge wekwa huko. Juzi kituo cha tv kimoja kinaendesha kampeni ya kuchangisha fedha ya MATIBABU ya kansa bila aibu ilihali Kuna HELA zmepigwa na WATU wameitwa SI wazalendo HIVI INGEKUA una umwa WEWE HIYO kansa ungejisikiaje kuangaika kuchangisha bilioni moja kwa WATZ maskini SI ILIKUA ni kitendo cha kuitoa KWENYE ZILE FEDHA zilizo PIGWA? Epuka karma huijui ccm kuliko humphrey polepole WEWE SA kama ye kimemlamba WEWE JE mpewa HELA ya supu na vichapati. Samahani kama NMEKUKOSEA KUWA na usiku MWEMA kijana. Najua njaa znawasumbua ACHA nilale UMRI wangu nshachoka kwa heri. Nakukanya tajibu shambulizi la tusi lolote dhidi yangu.hivi unavyoweweseka na kuropoka hivyo,
unaweza kumpigania nani wewe mathalan, na ulivyo na makasiriko ya kindezi hivyo dhidi ya ukweli kwenye hoja mahususi ndugu mdau?š
wadau wote wa JF na waTanzania wote ni ndugu zangu,Nani NDUGU Yako? Unapotosha umma halafu unadai mi NDUGU Yako. Mwendawazimu Nini. Bilioni kadhaa zimechukuliwa juzi Kuna tamko lolote limetoka kueleza ZILE PESA. Wajawazito bila EF 50 wanaambiwa wakajifungue KWAO . KWELI tuko sirias,SI Bora HIZO PESA zinge wekwa huko. Juzi kituo cha tv kimoja kinaendesha kampeni ya kuchangisha fedha ya MATIBABU ya kansa bila aibu ilihali Kuna HELA zmepigwa na WATU wameitwa SI wazalendo HIVI INGEKUA una umwa WEWE HIYO kansa ungejisikiaje kuangaika kuchangisha bilioni moja kwa WATZ maskini SI ILIKUA ni kitendo cha kuitoa KWENYE ZILE FEDHA zilizo PIGWA? Epuka karma huijui ccm kuliko humphrey polepole WEWE SA kama ye kimemlamba WEWE JE mpewa HELA ya supu na vichapati. Samahani kama NMEKUKOSEA KUWA na usiku MWEMA kijana. Najua njaa znawasumbua ACHA nilale UMRI wangu nshachoka kwa heri. Nakukanya tajibu shambulizi la tusi lolote dhidi yangu.
Pole mama yako anaendeleaje bwana abdul. ? Tuna kukumbusha tu kuwa hawi raisi 2025 to 2030 kataa wahuniššškama ni hivyo,
kulikoni viongozi wa chadema waende ibadani baada ya hali zao za kiuchmi kua mbaya zaidi?
huo si utakua unafiki mbele za Mungu gentleman š?
Hapana, amani ni mcha MUNGU sana kuliko unsvyofikiria. Na Muda mwingi alikuwa kiongozi wa kanisa kule Arusha alikokuwa akiishi akiwa kama katibu w kanisa. Siyo rahisi kwa Amani kukosa ibada.Amani Golugwa alikuwa hajui hata nyimbo za kanisani, anapigapiga midomo tu
Kwani hizo pesa anazotumia huyo Bi Ushungi ni zake? Anadhulumu tu kwa nguvu kwa matumizi yake. Siyo zake, na hiyo ni dhami. Santino ukae ukijuaHuenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani, utawarejesha viongozi hao waliopoteza uelekeo kwenye medani ya siasa baada ya chadema kusambaratika?
Na je, ni sahihi ugumu wa maisha ndio ukukumbushe kwamba kuna ibada na Mungu yupo?š
Mungu Ibariki Tanzania
Nakuomba usome maudhui ya wengine kwenye hili jukwaa la siasa.Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani, utawarejesha viongozi hao waliopoteza uelekeo kwenye medani ya siasa baada ya chadema kusambaratika?
Na je, ni sahihi ugumu wa maisha ndio ukukumbushe kwamba kuna ibada na Mungu yupo?š
Mungu Ibariki Tanzania
ULEeeeeee musaziiiiiiiiwadau wote wa JF na waTanzania wote ni ndugu zangu,
wenye mihemko, makasiriko na wanao weweseka kama wewe daima nawaona kama washirikina na wapiga ramli waliopoteza uelekeo na kwakweli wanahitaji msaada wa kisaikojia.
Pole kwa kukosa utulivu š
Hongera jana nasikia umepenya viti maalumhii laana ya kuchoma vitenge itawatesa sana BAWACHA mama Ima.
š
jikite kwenye hoja bila kutapatapa wala kuweweseka gentleman š
hiyo nonsense ilishakataliwa ndani ya chadema na imekisamabaratisha chadema kabisa.
malofa wachache hata haijulikani wanashupaza shingo kutetea nini na wakati chama chao kimefariki dunia kisiasa