Wanajamvi,
Baada ya kumuona ndugu Slow slow akikenua meno baada ya kumlipia Dr Mashinji milioni 30 na kutoka gerezani, nimeona kama vile hii hukumu kuna kamchezo flani hivi kalichezwa ambako kana ukakasi haswa ukizingatia umuhimu wa uhuru wa mahakama pamoja na haki za kisheria za viongozi hao walioswekwa ndani.
Natambuwa jitihada zinazoendelea za michango ya kuwalipia. Lakini kama ni kweli kuna wafungwa wengi ambao wako ndani kwasababu za kisiasa na ambao wameshindwa kulipa pesa, kuwalipia hawa viongozi peke yao itakuwa ni usaliti, na hivyo nashauri viongozi hao wa chadema wasalie ndani magereza hadi hapo watakapoachiwa bila masharti na haki kutendeka kwa wote waliofungwa kwa kubambikiziwa kesi na sababu za kisiasa. Ni wakati pia wa kudai haki kwa wale ambao hawajapatiwa haki zao kwa kuuwawa, kutekwa, kushambuliwa, kufungwa jela nk.
Suala kubwa liko kwenye pesa ambazo zimeshachangishwa. Hilo ni suala linaloweza kufanyiwa kazi kwa maoni kutoka kwa wachangiaji hao pamoja na viongozi wa chadema.
Kwa maoni yangu, kadri viongozi wa chadema wnavyozidi kukaa gerezani, ndivyo ambavyo umaarufu wa ccm ndani na nje ya nchi unadidimia. Ushauri wangu kwa ccm, muwaachie huru viongozi wa chadema waendelee kutoa hoja zao kwa wananchi kwa uhuru kama katiba inavyosema. Na tume huru ni LAZIMA.
.
Mkuu tayari kimataifa mh Lissu kesha maliza kazi huko. Wana mageuzi tunafanya kazi kama sisimizi yaani kwa umoja wetu.Tena viongozi wangekaa hiyo miezi mitano ingeleta attention kubwa sana kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.Hivi ninavyo andika hii post tayari 234 million tushachanga kuwanusuru wapigania uhuru wetu. View attachment 1384312
No one knows tomorrow.
Naunga mkono hoja.
Si ndo hapo wao miezi mitano tu kelele kibao huku mtaani wakae tu humo tupunguze na kelele za peoplez huku mtaani
KWANINI mashinji asingekaamo?Wanajamvi,
Baada ya kumuona ndugu Slow slow akikenua meno baada ya kumlipia Dr Mashinji milioni 30 na kutoka gerezani, nimeona kama vile hii hukumu kuna kamchezo flani hivi kalichezwa ambako kana ukakasi haswa ukizingatia umuhimu wa uhuru wa mahakama pamoja na haki za kisheria za viongozi hao walioswekwa ndani.
Natambuwa jitihada zinazoendelea za michango ya kuwalipia. Lakini kama ni kweli kuna wafungwa wengi ambao wako ndani kwasababu za kisiasa na ambao wameshindwa kulipa pesa, kuwalipia hawa viongozi peke yao itakuwa ni usaliti, na hivyo nashauri viongozi hao wa chadema wasalie ndani magereza hadi hapo watakapoachiwa bila masharti na haki kutendeka kwa wote waliofungwa kwa kubambikiziwa kesi na sababu za kisiasa. Ni wakati pia wa kudai haki kwa wale ambao hawajapatiwa haki zao kwa kuuwawa, kutekwa, kushambuliwa, kufungwa jela nk.
Suala kubwa liko kwenye pesa ambazo zimeshachangishwa. Hilo ni suala linaloweza kufanyiwa kazi kwa maoni kutoka kwa wachangiaji hao pamoja na viongozi wa chadema.
Kwa maoni yangu, kadri viongozi wa chadema wnavyozidi kukaa gerezani, ndivyo ambavyo umaarufu wa ccm ndani na nje ya nchi unadidimia. Ushauri wangu kwa ccm, muwaachie huru viongozi wa chadema waendelee kutoa hoja zao kwa wananchi kwa uhuru kama katiba inavyosema. Na tume huru ni LAZIMA.
.
Tena viongozi wangekaa hiyo miezi mitano ingeleta attention kubwa sana kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitano inatosha kabisa! Mi nawashangaa wanataka nini kuchomoka mapema kama wanaamini kwamba wao ni wafungwa wa kisiasa? Wabaki huko na Mandela alibaki huko miaka 27.Tena viongozi wangekaa hiyo miezi mitano ingeleta attention kubwa sana kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hawajawahi kukaa jela? Muulize Sugu kama hajakuchapa kelbu.Unadhan wana ubavu huo? Zile mbwembwe za siogopi jela ni hadithi tu usije ukawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Jela tofauti na mahabusu kwanza kuingia ni kunyolewa kipara kisha kupangiwa gereza la kukaa na kufanyishwa kazi tofauti.Unadhan wana ubavu huo? Zile mbwembwe za siogopi jela ni hadithi tu usije ukawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wameweza kutoa pesa zote hizo kama ni cowardice kihivyo? Hiyo energy inaweza kuwa “channeled” kivingine tu mkuu. Hivi uliona wananchi pale Kisutu walivyovimba na hao policcm?Gerezani sio pazuri yaani ...kwa hii cowardice society.... Ni bora awo viongoz watoke
Wewe unaandika ukiwa gerezani au upo mtaani?Wanajamvi,
Baada ya kumuona ndugu Polepole akikenua meno baada ya kumlipia Dr Mashinji milioni 30 na kutoka gerezani, nimeona kama vile hii hukumu kuna kamchezo fulani hivi kalichezwa ambako kana ukakasi hasa ukizingatia umuhimu wa uhuru wa mahakama pamoja na haki za kisheria za viongozi hao walioswekwa ndani.
Natambuwa jitihada zinazoendelea za michango ya kuwalipia. Lakini kama ni kweli kuna wafungwa wengi ambao wako ndani kwasababu za kisiasa na ambao wameshindwa kulipa pesa, kuwalipia hawa viongozi peke yao itakuwa ni usaliti, na hivyo nashauri viongozi hao wa chadema wasalie ndani magereza hadi hapo watakapoachiwa bila masharti na haki kutendeka kwa wote waliofungwa kwa kubambikiziwa kesi na sababu za kisiasa. Ni wakati pia wa kudai haki kwa wale ambao hawajapatiwa haki zao kwa kuuwawa, kutekwa, kushambuliwa, kufungwa jela nk.
Suala kubwa liko kwenye pesa ambazo zimeshachangishwa. Hilo ni suala linaloweza kufanyiwa kazi kwa maoni kutoka kwa wachangiaji hao pamoja na viongozi wa chadema.
Kwa maoni yangu, kadri viongozi wa chadema wnavyozidi kukaa gerezani, ndivyo ambavyo umaarufu wa ccm ndani na nje ya nchi unadidimia. Ushauri wangu kwa ccm, muwaachie huru viongozi wa chadema waendelee kutoa hoja zao kwa wananchi kwa uhuru kama katiba inavyosema. Na tume huru ni LAZIMA.
View attachment 1384360
.