Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 942
Sasa hivi kila kona ni upinzani unazungumziwa hasa CDM hakika kimeongezeka umaarufu maradufu.
Ahsante wapenda haki na amani.
Ahsante wapenda haki na amani.
Wewe na uelewa wako umelifanyia nini taifa hili zaidi ya kubweka humu ?!Unaandika utumbo hizo pesa mlizochangishana chadema ndio mngepeleka mkawatoe wanasiasa wenu huko waliofungwa, mmekuwa na double standard sana yaani maviongozi majambazi yanayokula ruzuku ndio bado yanachukua na fedha za maskini pumbavu sana.
Haki haijatendeka bado, damu ya Akwilna itaendelea kumtesa Jiwe.
Mbona unawashwa saaaana vipi?Rais huwa hafuati ushauri wa muda bar kama wewe.kadange huko huko
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na ushabiki kama hiyo michango haijafikia kiwango mpaka muda huu ujue sio wengi wanao support chadema ..
Mil 350 kwa wananchi sio fedha nyingi kiivo wananchi washindwe kuchangia kama wangekua wengi tena kwa nchi ambayo access ya mtandao is available kwa watu wengi kama tz.
Chadema mjitathmini pia kupitia hili.
Mungu ibariki Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni sana Chadema pamoja na Watz wote mlioguswa kwa mamna moja au nyingine. Mungu awatangulie ktk mapambano haya. Ushindi umenukia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais huwa hafuati ushauri wa muda bar kama wewe.kadange huko huko
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
acha uongo nani anapenda kuishi jela? hizo Pesa za ruzuku hazina gap la kuzibia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na ushabiki kama hiyo michango haijafikia kiwango mpaka muda huu ujue sio wengi wanao support chadema ..
Mil 350 kwa wananchi sio fedha nyingi kiivo wananchi washindwe kuchangia kama wangekua wengi tena kwa nchi ambayo access ya mtandao is available kwa watu wengi kama tz.
Chadema mjitathmini pia kupitia hili.
Mungu ibariki Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kipi ni kipi hapa hata sikuelewi. Kunywa maji ya baridi kwanza halafu vuta pumzi ndefu ndo urudi tena hapa.Unaandika utumbo hizo pesa mlizochangishana chadema ndio mngepeleka mkawatoe wanasiasa wenu huko waliofungwa, mmekuwa na double standard sana yaani maviongozi majambazi yanayokula ruzuku ndio bado yanachukua na fedha za maskini pumbavu sana.
Ukiachana na ushabiki kama hiyo michango haijafikia kiwango mpaka muda huu ujue sio wengi wanao support chadema ..
Mil 350 kwa wananchi sio fedha nyingi kiivo wananchi washindwe kuchangia kama wangekua wengi tena kwa nchi ambayo access ya mtandao is available kwa watu wengi kama tz.
Chadema mjitathmini pia kupitia hili.
Mungu ibariki Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatakiwa waendelee kubaki huko hao wa kike wameshatolewa inatosha. Maandalizi ya uchaguzi mkuu ni pamoja na tume huru ya uchaguzi.
Kwani haidhani kuwa viongozi hao wana busara sana? Hawajataka tu kuwaachia waingie kitaa. Hakuna ambalo linafanyika kwa sasa halitambuliwi na jumuiya ya kimataifa. Macho kodo. Hata Tundu Lissu nimeskia akisema waachiwe bila masharti.Nani atapaza sauti ya kuidai hiyo tume huru ya uchaguzi? Siasa za Tanzania unazijua mkuu ebu nenda mbele pia rudi nyumba. Yaani kuwaacha hao wabakie miezi 5 wakitoka watakuwa wamekwisha.
No one knows tomorrow.
Gerezani sio pazuri yaani ...kwa hii cowardice society.... Ni bora awo viongoz watoke
Jela tofauti na mahabusu kwanza kuingia ni kunyolewa kipara kisha kupangiwa gereza la kukaa na kufanyishwa kazi tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hatuna nafasi ya kuwajibu. Tunaomba mtoe michango yenu kama bado.Mitano inatosha kabisa! Mi nawashangaa wanataka nini kuchomoka mapema kama wanaamini kwamba wao ni wafungwa wa kisiasa? Wabaki huko na Mandela alibaki huko miaka 27.